Sinagogi hili la Siloam Ministries

Siku moja nilisikia kuna muumini wanasema kwa nini afe kwa ugonjwa ?
Kufa kwa ugonjwa ni dhambi na hauingii mbinguni !

Akazikwa kama mpagani
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Pool of Siloam!

Hili kanisa ni moja kati ya makanisa ya kiroho lililo tofauti na makanisa yote ya kikristo. Ngoja nikupe story kidogo juu ya hili kanisa,
Mosi.... Hakuna popote penye ishara/alama ya msalaba kama ilivyo makanisa mengine ya kikristo, ndani ya majengo ya makanisa yao.

Pili... Kila mkoa Tanzania una jina lake, Kwa mfano Moshi panaitwa Ararati, Singida panaitwa Sayuni, Mwanza - Yericko,

Hata hapa DSM kila kitongoji kina jina lake, Mfano TABATA inaitwa, .... wanajua wenyewe

Tatu: Kiongozi wao anaitwa MUNGU WA MAJESHI- MIAKA 1000 , wanamwabudu kama mungu, wanaamini hata huwezi kumuona

Nne: Mwanzilishi wa hilo kanisa , alikuwa anaitwa Munuo (Mmachame), alifariki mwaka juzi bila kukosea, akazikwa huko Bagamoyo, wanasema alipaa mbinguni kama Yesu, hata vyombo vya habari ya CNN , BBC vilionyesha. Ajab hakuna local media hata moja iliyoripoti tukio kubwa kama hilo.

wachungaji wengi wa hilo kanisa ni Wamachame

Tano: Biblia yao haina kava la juu, wameweka lakwao, kila siku wanabadili na kupunguza mistari kwenye biblia, MUNGU WA MAJESHI anasemu MUNGU wetu aliye hai ndie kamwaguza kufanya hivyo. Kwa kifupi biblia yao ina viaraka

Sita: wanaposali /wakiwa kwenye maombi wanatingisha vichwa , na kubana sauti inakuwa kavu hatari. Kama ni mara ya kwanza kwenda hapo, huwezi kusikia chochote.

Saba: waumini wao wana hali mbaya sana kiuchumi.

Nane:
Hawatumii miezi yetu, sijui February, Janurary au March , wao miezi yao ni Zifa, n.k

Ukienda hapo utastaajabu....
Nilikuwa sijamuelewa Mshana JR kumbe ndo hawa pool of siloam.?
 
Mshana JR hili kanisa kwa kweli ni shida kwanza wao biblia wanaita kitabu cha neno. Ukienda kwao unabatizwa sasa majina utayopewa baaday ya ubatizo utaitwa mara Lango la Neema, Utukufu wake, nk. Majira yao katika hizi saa ni tofauti na sisi kabisaa ingawa wanatumia hizi saa za kawaida. Wanasali saa 22 kwa siku.
 
Aiseee manake huwa silielewi elewi na lingine lipo ile barabara ya ubungo external ni soo
kwa shauku ya kujua kuhusu ili kanisa lipoje, siku moja miaka ya 2006 niliingia la pale external, wanatumia kitabu cha mormons unaweza kufuatilia kwa undani imani ya wa-mormons.
 
>> aliye, aliyeeee ,gegedwa, gegedwa, na vijana, na vijanaaaaaaaa ,wa kiume wa kiumeeeeeee ,apigwee ,apigweeeeee, mawe ,maweeeeeeee, yaani ni burudani ukiwasikia hawa watu wanarudia rudia maneno tuuuuuuuuuu >>
 
Wana bifu sababu ya hela.KANISA (Mke wa marehemu Eliya kizazi cha nne) anataka kuwapanda kichwani kina MIAKA 1000(Ambaye Eliya alimkabidhi huduma).Sasa WAKUU WA NJIA hawamkubali MIAKA 1000,wameenda kumchoma kwa KANISA.KANISA amepata kiburi akazira kusali hapo makao makuu mbezi.
hii story imenoga sababu ya majina.
 
..alafu makuhani wao hujichagulia mke toka kwa wake za waumini wao...na penzi lao hufanya usiku na wake wa wenzao kwa muktadha wa mkesha wa karamu ya bwana...
 
Kwa mjumuisho wa wasifu huu wote uliotolewa hii ni Cult group kama nyinginezo tu kama za akina Kibwetere.
 
Halafu ukitofautiana nao ukutenga kuna watu ndoa zinayumnishwa maana jamaa uwaingia wakina na kutaka familia kuamia imani hiyo.

Jamaa aliyumba hadi wakatengana na mkewe baadaye walielewana mkewe halitoka siloam.

Jamaa alikuakakariri mambo ya kanisa, kichwa, agano na mengine nimesahau mwenyewe akihadithia uwa inasikitisha halafu inachekeaha.

Jamaa hata watoto hawapeleki hospitali.
 
Jamaa aliyumba hadi wakatengana na mkewe baadaye walielewana mkewe halitoka siloam.
Halafu ukitofautiana nao ukutenga kuna watu ndoa zinayumnishwa maana jamaa uwaingia wakina na kutaka familia kuamia imani hiyo.

Jamaa aliyumba hadi wakatengana na mkewe baadaye walielewana mkewe halitoka siloam.

Jamaa alikuakakariri mambo ya kanisa, kichwa, agano na mengine nimesahau mwenyewe akihadithia uwa inasikitisha halafu inachekeaha.

Jamaa hata watoto hawapeleki hospitali.

Jr
 
Back
Top Bottom