Sina hamu ya kufanya mapenzi

Wasalaam ndugu..
Naamini nko na afya njema kabsa. Ngoja nianze hivi..ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabsa mwilini..mwanzo niliona kawaida ila sasa naona litakua ni tatizo mana inafika kipindi hata mnara hausomi kabsa hata kidogo..nilijifikiria labda ni kwa sababu sina mpenzi..ila juzi nliamua kwenda club nikaomba kucheza na mdada mmoja ambae najua atani stimulate..lakini pamoja na hayo yote mnara uligoma kushika mawimbi..nimejiuliza sana tatizo nini ila nimeshindwa pata jibu.."Mganga hajigangi" naombeni uchambuzi kuhusu hili..

"Dare to talk openly"
Du hii kali,mwanaume analalamika hapati hamu ya mapenzi mkuu fanya juhudi utatue hili tatizo mapema utamu usije ukahamia kwako ukashughulikiwa maana haya mambo ni magumu. na pia mwanaume wa kweli hajipimi kudindisha kwa kucheza mziki na mdada,Hisia za mapenzi hutoka moyoni sio kwa kucheza mziki
 
Wasalaam ndugu,

Naamini niko na afya njema kabisa.

Ngoja nianze hivi, ni muda kama wa wiki tatu sasa hali ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi ipotee kabisa mwilini.

Mwanzo niliona kawaida ila sasa naona litakua ni tatizo mana inafika kipindi hata mnara hausomi kabisa hata kidogo.

Nilijifikiria labda ni kwasababu sina mpenzi ila juzi niliamua kwenda club nikaomba kucheza na mdada mmoja ambae najua atanistimulate.

Lakini pamoja na hayo yote mnara uligoma kushika mawimbi nimejiuliza sana tatizo nini ila nimeshindwa pata jibu."Mganga hajigangi"

Naombeni uchambuzi kuhusu hili.

"Dare to talk openly"
Wewe ni memba wa CHAPUTA
 
Una dalili ya kuoka ndugu yangu. Bora ungekuwa hivo tangu siku mingi ungeingia mbinguni direct wengine hio mambo ndio inatuzuia kuingia mbinguni ww unalilia. Ila pia nia ajabu fulani hivi kwa mwanaume Majengo ya Mkemia wa Phd Amazing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom