Sina hamu kabisa ya kuoa na umri unazidi kwenda

Hofu tu mkuu unayo.Tupo wengi wenye 35 na kuendelea but hatuna wasiwasi.Hata hivyo zama hizi kupata na kuishi na hawa wenzetu imekuwa ni changamoto sn.

Ukiwa kwenye ndoa miaka hii ni hatariiii sn,kwani kuua ama kufa wewe ni possible sn
Aiseee vijana mmekata tamaa sana, sijui tatizo nini

Serikali iweke kipengele kwenye Katiba cha kulazimisha vijana waoe.
 
Kuja mambo mengi

1.Una trauma ambayo hutaki ku admit una historia mbaya na wanawake au mwanamke uliyezaa nae ni km hatoshi kuwa mkeo au una soma taarifa mbaya mbaya kuhusu mahusiano.

2.Una jini mahaba
Mke wangu ameshawahi kuwa na jini mahaba ni balaa sana ni vile tu mimi nina nguvu ya asili kwenye ulimwengu wa roho ila hilo nalo lipo na limewapoteza wengi

3.Wewe unapenda space flani hivi privacy
Binafsi wakati sijaoa nilikuwa na hofu moja kubwa,nitawezaje kukaa na mtu ndani mda mrefu maana mimi nilivyo siwezi kukaa na yeyote yule mda mrefu bila kujitenga mwenyewe kwa mda.Sasa nikawa nawaza itakuwaje hii tabia yangu ya kupenda kukaa mwenyewe tena nyumbani!!!Huwezi amini nilikuwa Nina kila kitu na uwezo wa kuishi na mke ila hofu yangu ilikuwa privacy,itakuwaje nitawezaje??nilivyotoa mali nilikaa na mke wangu chini nikamwambia pamoja na wewe kuniona mi ni charming,social ila siwezi kukaa na mtu mda mrefu hivyo nikikuoa ukiona nipo chumbani mwenyewe au nipo nje na kiti mwenyewe ujue kabisa ndo nilivyo na sijabadilika.

Nikaoa!!!cha ajabu nikajikuta tena siwezi kukaa mbali na mke wangu mda mrefu na hata nikiwa kimya ila nataka yeye awe pembeni tu na ukimya huo huo.

Kuna vitu unaweza kuhisi huviwezi ila ni kwasababu haujawahi jaribu,ukijaribu ni vyepesi sana.

Mke ana raha yake hasa km hukukurupuka kwenye kuoa siku hizi wanaume hatujui kuchagua wanawake tupo busy sana na kuwaza ngono tuna miss wanawake wazuri wa kufanya nao maisha.Utakuwa binti wa Miaka 33 unamuona kabisa mbona huyu binti hana shida ila mume hana sasa hao tunaowaoa sasammmmh
Dalili za mwanamke mwenye jini mahaba ni zipi ?
 
Hyo maisha uliyoyachagua ni kawaida sana chakuongeza hakikisha unakuwa na mwanamke wa kukupa mbususu tu inatosh
 
Yaani wanawake tunavyo jua kutongoza vile hata kukulipia mahali ruko tayri! ! wewe hata hao huna?? basi utakuwa na kikwapa sugu! au mjisura wa Remmy kuzidi!...na huyu kakuzidi mbali sana!

tena una gari usafiri km zote kwa nini! una mikosi au umenyewa me wanatongozwa siku hizi!
 
Yaani we kila siku comment zako ni za makasiriko itakuwa upo kwenye ndoa ambayo haina amani na furaha unakuja huku kujipa moyo au single maza aliyekubuhu sio kwa aina ya comment zako hizi
 
Sikusahau mzee ,alipokuwa na mimba ya mtoto wa kwanza nikaona itakuwa aibu kwake kuzaa bila kuwa na mwanaume anayefahamika, so nilienda huko kwao akiwa anakaribia kujifungua then nikapangiwa mahali nikalipa, so kiasi flani jamii yote inajua shes my wife, shida ni kuishi naye hapa kwangu zamani nilikuwa nampiga viswahili akitaka ahamie kwangu saizi naye kaacha kuhoji kabisa na mbaya zaidi kafanikiwa kuwa na kibanda chake cha kuishi ,
Aisee
 
Watoto unahitaji ila mke humtaki

And u expect watt waje wakupende?

I can imagine the loneliness ya mkeo
Bt atleast watt wanamkeep busy

Siku akipata mwanaume mwingine maji utaita mma
 
Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari
Ongea na mama watoto, jaribu kuwa muwazi kwake kuhusu hiyo hali. Kama atakubaliana nayo, basi mrasimishe uhusiano wenu kwa maslahi ya watoto. Na pia iwe nafasi yake ya kuendelea na maisha yake kama hatakubaliana na hiyo hali yako.

Ndoa, ikiheshimiwa, lengo lake kuu ni kuendeleza jamii, sasa inapotokea unaendeleza jamii nje ya ndoa, umuhimu wa ndoa ndio unapopotea.
 
Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari

Cha ajabu hamu ya kuishi na mwanamke inazidi kupotea huku umri unaenda, na kinachonitisha ni mwili kukata hamu kabisa kwa wanawake, hivi nandika hapa nina miezi miwili sijui uchi wa mwanamke, ratiba yangu imekuwa ni hivi asubuhi nakwenda shule, mchana nikitoka naenda kwenye biashara zangu au mashambani kwangu kuhudumia mimea na mifugo, najikuta tayari ni usiku nikirudi kwangu ni kulala tu

Sikumbuki kuhusu wanawake kabisa, huko nyuma afadhali kila juma tatu nilikuwa nazifumua mbususu lakini saizi hamna hiyo, hata tu kutongoza siwezi, hata hamu mama kwa mama watoto imepotea kabisa , nilipanga niishi naye kuanzia mwaka huu, ila naona akili haisemi chochote, ninachowaza ni pesa pesa basi

Niliamini sana huko nyuma pesa ikiongezeka na shughuli zikiwa kubwa ntaishi na family kwa furaha, yes pesa kibongo bongo ipo kiasi chake yaani zile ndoto za kuwa mtanzania nimetimiza (nyumba, gari n miradi flani ninayo tayar:) ada ya wanangu nalipa na take care kwa kumpatia mama yao pesa ya matumizi kila mwezi, mahali nilitoa, shida ni kuishi na mwanamke tu

Nawaza kazi zangu tu, kinachonitesa sana ni wanangu kuwa siishi nao (ni kitu ambacho kinaniumiza sana) imefika wakati naweza toka shule ninapofundisha na kwenda kuwasalimia na huwa natoa hadi machozi nikifikiri why siishi nao, ila linapokuja suala la kuishi na mama yao inaKuwa mtihani, msaada wenu napokea ushauri , napokea pia matusi na kejeli, i'm old enough na maisha ya mtandaoni nayafahamu
Pole sana ndugu.Nimesoma kitabu cha kiingereza kinaitwa CHANGES,chapter Iv kinaelezea hali hiyo ni dalili za wazi za wewe kuelekea kwenye USHOGA.Msiba huo.
 
Kuja mambo mengi

1.Una trauma ambayo hutaki ku admit una historia mbaya na wanawake au mwanamke uliyezaa nae ni km hatoshi kuwa mkeo au una soma taarifa mbaya mbaya kuhusu mahusiano.

2.Una jini mahaba
Mke wangu ameshawahi kuwa na jini mahaba ni balaa sana ni vile tu mimi nina nguvu ya asili kwenye ulimwengu wa roho ila hilo nalo lipo na limewapoteza wengi

3.Wewe unapenda space flani hivi privacy
Binafsi wakati sijaoa nilikuwa na hofu moja kubwa,nitawezaje kukaa na mtu ndani mda mrefu maana mimi nilivyo siwezi kukaa na yeyote yule mda mrefu bila kujitenga mwenyewe kwa mda.Sasa nikawa nawaza itakuwaje hii tabia yangu ya kupenda kukaa mwenyewe tena nyumbani!!!Huwezi amini nilikuwa Nina kila kitu na uwezo wa kuishi na mke ila hofu yangu ilikuwa privacy,itakuwaje nitawezaje??nilivyotoa mali nilikaa na mke wangu chini nikamwambia pamoja na wewe kuniona mi ni charming,social ila siwezi kukaa na mtu mda mrefu hivyo nikikuoa ukiona nipo chumbani mwenyewe au nipo nje na kiti mwenyewe ujue kabisa ndo nilivyo na sijabadilika.

Nikaoa!!!cha ajabu nikajikuta tena siwezi kukaa mbali na mke wangu mda mrefu na hata nikiwa kimya ila nataka yeye awe pembeni tu na ukimya huo huo.

Kuna vitu unaweza kuhisi huviwezi ila ni kwasababu haujawahi jaribu,ukijaribu ni vyepesi sana.

Mke ana raha yake hasa km hukukurupuka kwenye kuoa siku hizi wanaume hatujui kuchagua wanawake tupo busy sana na kuwaza ngono tuna miss wanawake wazuri wa kufanya nao maisha.Utakuwa binti wa Miaka 33 unamuona kabisa mbona huyu binti hana shida ila mume hana sasa hao tunaowaoa sasammmmh
Unyumba ni mapatano, na mwenzi wako mnawasikiana, mnaelewana, mnachukuliana na kuvumiliana jinsi mlivyo!
 
Back
Top Bottom