Hivi uongo unawafaidisha nini? Yaani msuva alingane umri na wakina jerry tegete na yondani? Msuva huyu huyu ambae miaka michache nyuma alikuwa kinda kabisa akicheza show kinondoni?Ni kweli mkuu, kacheza na mshikaji wangu kule changanyikeni na wanafanana umri
Huyo jamaa ni muongo sana huyo msuva atakuwa na miaka ikizidi sana ni 32 ni age mate na kina himid mao na himid namjua tokea akiwa bwana mdogo mwembechaiDuhh! Kama ni kweli Bora arudi timu za bongo Tena zile za kawaida.
Lakini siwezi kushangaa Sana kama clement mzize alicheza kama sijakosea ilikua stand united ikashuka daraja akaenda kua boda boda akaja badae kucheza yanga alafu hadi Leo bado hajatimiza miaka 20Siyo chai, Msuva kasajiliwa na Yanga mwaka 2011, miaka 13 iliyopita. Wakati huo keshachezea vilabu viwili vya ligi kuu kwa misimu kadhaa. Leo anasema ana miaka 30 kweli? Kwahiyo alisajiliwa Yanga akiwa na miaka 17? Hivyo vilabu vingine alivichezea akiwa under 13?
Duuuuuuh kama msuva ana 38 saidoo si atakua na 50 kabisaNi kweli mkuu, kacheza na mshikaji wangu kule changanyikeni na wanafanana umri
Kwa hiyo Simon Msuva ni age mate wa Christian Ronaldo au Pepe? Basi wacha aendelee tu kukipigaKwanza niseme Ninamuheshimu sana Saimon Msuva kama mchezaji na pia kama binadamu, nidhamu yake ndani na nje ya uwanja ni ya kiwango cha juu sana.
Lakini pia ni mchezaji ambae kila anapovaa jezi ya timu yetu ya taifa hujituma kwa moyo wake wote na passion yake juu ya mchezo wa soka huwa anaionyesha hata katika soka lake ngazi ya vilabu, na niseme wazi kwangu binafsi msuva ätabaki kuwa mmoja wa wachezaji nyota wa muda wote wa taifa letu.
Lakini kwa bahati mbaya mchezo wa soka unaenda na nyakati na umri, soka sio kama kuendesha gari kitu unachoweza kukifanya mpaka uzeeni, soka ni mchezo wa muda mfupi na uwezo unapoanza kushuka huwezi kujificha sababu mpira unachezwa hadharani.
Kila nikimtazama sSaimon Msuva wa sasa simuoni Msuva wa miaka 10 nyuma achilia mbali kupotea kabisa kwa Msuva wa mwaka mmoja nyuma, jamaa ameshuka sana kiwango kitu pekee alichobaki nacho ni kasi isiyo na faida, yaani anapokuwa uwanjani ni sawa na mbwa koko anaezunguka zunguka asijue nini cha kufanya.
Nafikiri club ya Js kabyle ya Algeria walikuwa sahihi kumvunjia mkataba na kwauwezo wake wa sasa simuoni akicheza Ulaya au club kubwa za nje ya nchi kwa mafanikio tena kama ambavyo amekuwa akijinasibu kwamba yeye kucheza bongo bado sana.
Saimoni Msuva, umri haudanganyi kaka yangu, mimi nakufahamu nje ndani, umri wako halisi ni miaka 38, kinachokufanya uwe angalau na nguvu za kukimbia ni nidhamu yako juu ya mchezo wa soka na namna unvyoutunza mwili wako, lakini kiuchezaji kwa sasa sioni kama unaweza pata namba hata kikosi cha kwanza cha Singida fountain gate, achilia mbali Azam fc au kwa miamba ya soka toka kariakoo Simba sc na sisi Dsm Yanga africa.
Msuva naomba ukubali kuwa wakati ni ukuta na nachokushauri kwa sasa tafuta timu uarabuni ukapige pesa zako mwisho kisha utulie sababu kama Yanga sc au simba sc wakikusajili watakuwa wamejiingiza hasara, lakini nawewe utapata aibu ya mwaka, sababu yatakutokea kama yaliyomkuta Thomas ulimwengu pale singida fc, alinyanyua mabega juu lakini ameishia kuwekwa benchi na habib Kyombo.
Msuva sisi kama Yanga kwa sasa haitufai na sidhani kama makolo nao wanaweza kukuhitaji, na soka la kimataifa hutoliweza tena lakini unaweza fanya JANJA kama ya sawadogo ukapata dili lako la Mwisho.
Kila lakheri msuva
Wew umecheza na himid Mao wapi, Wakati msuva anasajiliwa morot United YA Kina nsa job wewe ulikuwa wapi kipindi hicho, msuva anaingia under 20 ya azam 2007 na akina cosmas Maradona wewe ulikuwa wapi?Huyo jamaa ni muongo sana huyo msuva atakuwa na miaka ikizidi sana ni 32 ni age mate na kina himid mao na himid namjua tokea akiwa bwana mdogo mwembechai
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Msuva hana miaka 32 and no where near that, he's 38 mimi nimeupiga nae, copa coca cola under 17 mwaka 2007 iliyofanyika south Africa hakushiriki sababu vyeti vyake vya kuzaliwa vilichelewa kubadilishwa, njoo na taarifa kamili, ngoja nitafute picha za 2007Huyo jamaa ni muongo sana huyo msuva atakuwa na miaka ikizidi sana ni 32 ni age mate na kina himid mao na himid namjua tokea akiwa bwana mdogo mwembechai
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂 we jamaa umeua nimecheka mpaka basi 😂😂😂😂Duuuuuuh kama msuva ana 38 saidoo si atakua na 50 kabisa
Mkuu Jerry toka nimwone anacheza mpira ni muda na uzuri nimekulia tabata jerry ni makamo ya kina Matunga pesa aloo umri umeenda wale aiseeHivi uongo unawafaidisha nini? Yaani msuva alingane umri na wakina jerry tegete na yondani? Msuva huyu huyu ambae miaka michache nyuma alikuwa kinda kabisa akicheza show kinondoni?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sio under 20 ilikuwa ni under 17 sasa kama 2017 tuseme alikuwa na miaka 17 na miaka 16 imepita jumla atakuwa na 33....hilo la msuva kuwa na miaka 38 ntalikataa mpaka keshoWew umecheza na himid Mao wapi, Wakati msuva anasajiliwa morot United YA Kina nsa job wewe ulikuwa wapi kipindi hicho, msuva anaingia under 20 ya azam 2007 na akina cosmas Maradona wewe ulikuwa wapi?
Haya tuseme alikuwa na miaka 18 jumlisha miaka 16 tokea hyo 2007 jumla atakuwa na miaka mingapi?Msuva hana miaka 32 and no where near that, he's 38 mimi nimeupiga nae, copa coca cola under 17 mwaka 2007 iliyofanyika south Africa hakushiriki sababu vyeti vyake vya kuzaliwa vilichelewa kubadilishwa, njoo na taarifa kamili, ngoja nitafute picha za 2007
Lakini siwezi kushangaa Sana kama clement mzize alicheza kama sijakosea ilikua stand united ikashuka daraja akaenda kua boda boda akaja badae kucheza yanga alafu hadi Leo bado hajatimiza miaka 20
mkuu upo sahihi bongo kwa uongo ndo wenyewe hata Samatta kajipunguza.Sio chai, mkuu mimi namfahamu kindaki ndaki passport yake ya sasa inasoma October 1993 but sio umri halisi na nimesukuma nae ndinga sana enzi hizo kimara, lakini nimepiga nao ndinga wote wawili mtu na mdogo wake (James msuva) mambo ya soka la vijana copa coca cola msuva na vijeba wengine walikuwa wanachip in kuja kuongeza nguvu, so najua nachokisema
Yupo Ronaldo anakiwasha huko!Kwenye soka umri above 35 ni wachache sana wanaofanya vizuri
Huko kwenye ligi za wazee? Akiwashe EPL kwa umri huo kama atawezaYupo Ronaldo anakiwasha huko!
Kwa taarifa yako tu, mpaka anaondoka Man U kwenda Saudia ndiye aliyekuwa mchazaji wa Man U aliyekuwa anaongoza kwa ufungaji klabuni kwa Msimu huo na uliopita. Kama sio kweli, weka ushahidi.Huko kwenye ligi za wazee? Akiwashe EPL kwa umri huo kama ataweza
aliipa timu mafanikio gani?Kwa taarifa yako tu, mpaka anaondoka Man U kwenda Saudia ndiye aliyekuwa mchazaji wa Man U aliyekuwa anaongoza kwa ufungaji klabuni kwa Msimu huo na uliopita. Kama sio kweli, weka ushahidi.
Kwenye timu Kila mchezaji ana mchango binafsi ndio maana hata mishahara yao inatofautiana kutokana na mchango wa Kila mchezaji. Haijalishi performance ya timu collectively.aliipa timu mafanikio gani?
Nazungumzia EPL, man utd haikuwa inacheza yenyewe.
Sio jibu ya nilichohoji, sikupingi kwa ulichokisema.Kwenye timu Kila mchezaji ana mchango binafsi ndio maana hata mishahara yao inatofautiana kutokana na mchango wa Kila mchezaji. Haijalishi performance ya timu collectively.