Simbeye: Joseph Selasini ni mwanachama wa Chadema alirejea February 2021 na alikabidhiwa kadi Rombo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Mwenezi wa NCCR mh Simbeye amesema Joseph Selasini ni mwanachama halali wa Chadema na alirejea February 2021

Simbeye amesema Joseph Selasini aligombea ubunge wa Rombo kwa tiketi ya Nccr lakini baadae aligombana na wenzake na kuamua kurudi Chadema ambako alipokelewa na kupewa kadi

Hivyo Selasini anafanya yote anayofanya akitokea Chadema

Source Star tv Medani za Siasa
 
MSAJILI wa VYAMA anasemaje?kwanini ashtakiwi na wana Nccr?
 
Bongo kila kitu kinawezekana bwashee
Mwenezi wa NCCR mh Simbeye amesema Joseph Selasini ni mwanachama halali wa Chadema na alirejea February 2021

Simbeye amesema Joseph Selasini aligombea ubunge wa Rombo kwa tiketi ya Nccr lakini baadae aligombana na wenzake na kuamua kurudi Chadema ambako alipokelewa na kupewa kadi

Hivyo Selasini anafanya yote anayofanya akitokea Chadema

Source Star tv Medani za Siasa
 
Siasa za kimalaya malaya zimeasisiwa na marehemu akisaidiwa na wakina Alexander mnyeti.
 
Nilimsikiliza Jana Simbeye ,alikuwa anaongea kwa Uchungu sana,column haikutimia pia wajumbe wengi walikuwa wa mchongo ,wengine sio wanachama kabisa wa NCCR lakini walikuwepo kwenye mkutano na wakafanya maamuzi.

Kesi ipo mahakamani lakini Ofisi ya msajili ikabariki mkutano feki wa NCCR na kuwaondoa kina mbatia.
 
Back
Top Bottom