SimbaSC 2012/13.. Winga Ngassa Winga Okwi!

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Ukiangalia mfumo wa Prof Milovan anatumia sana wings ktk kushambulia.. Wings zenye kasi n that's 1 reason kwa mfumo ule Okwi alishine sana kwakuwa yeye ndo mipango yote ya timu ilikuwa inamalizikia kwake.. Na kidogo Marehemu Mutesa kwakuwa alikuwa na speed alifunga magoli mengi na kuwa m1 wa Holding Midfield duniani kufunga magoli mengi ktk msimu m1. Nna imani kwa uwezo wa Ngassa ule tunaoujua na speed aliyonayo Simba haitategemea upande m1 ktk kushambulia ie ule wa Okwi na Maftah.. Kwa Simba hii ya Kaseja golini Chollo au yule dogo Hassan wa u20 shavu la kulia Maftah shavu la kushoto Kapombe na Twite mikoba Musa Mudde holding midfield Kazimoto au Mbiyavanga dimba la juu winga okwi winga Ngassa kumi Boban na targetman sunzu.. Simba itatutoa kimasomaso hata hatua ya makundi CL mwaka huu..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
itakuwa ni vizuri unachokisema kitatimia, kasi ya Ngassa na Okwi wote wakitokea pembeni na katikati Kazimoto na Ridondo na mbele wakawakuta Bobani na Sunzu hii Simba itakuwa balaha.
 
Ukiangalia mfumo wa Prof Milovan anatumia sana wings ktk kushambulia.. Wings zenye kasi n that's 1 reason kwa mfumo ule Okwi alishine sana kwakuwa yeye ndo mipango yote ya timu ilikuwa inamalizikia kwake.. Na kidogo Marehemu Mutesa kwakuwa alikuwa na speed alifunga magoli mengi na kuwa m1 wa Holding Midfield duniani kufunga magoli mengi ktk msimu m1. Nna imani kwa uwezo wa Ngassa ule tunaoujua na speed aliyonayo Simba haitategemea upande m1 ktk kushambulia ie ule wa Okwi na Maftah.. Kwa Simba hii ya Kaseja golini Chollo au yule dogo Hassan wa u20 shavu la kulia Maftah shavu la kushoto Kapombe na Twite mikoba Musa Mudde holding midfield Kazimoto au Mbiyavanga dimba la juu winga okwi winga Ngassa kumi Boban na targetman sunzu.. Simba itatutoa kimasomaso hata hatua ya makundi CL mwaka huu..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Winga Ngassa,Winga Uhuru Selemani katikai Haruna Moshi na Sunzu(kama ulivyopendekeza ukimtoa Okwi tu) aliyekuwa kwenye benchi leo mmechezea KICHAPO CHA 3-1,sijui una la ziada la kutueleza?
 
Kamati ya ligi iskubali haya matokeo ya leo na ya kagame kwa simba, nashauri rage akate rufaa
 
Msilete siasa dimbani,,,dimbani mpira unaitajika;;mpira wa kibongo unanisikitisha timu inasajili wachezaji 8 ndani ya nusu msimu unategemea watajuana kivipi

napita 2 hapa si kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom