Simba wasipomaliza nafasi pili, Je watashiri kombe gani?

babu onyango

JF-Expert Member
Jan 12, 2023
336
821
Wakuu kama mlivyosikia ya kuwa confederation cup limefutwa, Je hawa ndugu zetu ubuntu botho/mikia fc/mbumbumbu fc walio nafasi ya tatu kwenye ligi je watashiriki kombe gan?

Nawasikitikia sana maana naona jinsi wanavyobaki kuwa wa hapa hapa nyumban ( wamchangani)
 
Simba tayari ana vigezo vya kushiriki AFL, kwa ukanda wake ambao unatoa timu 8 unazani ni timu ngapi zimempita kwa rank? Hata uto mwenyewe kakalishwa
 
Simba wasipomaliza nafasi pili, Je watashiri kombe gani?Simba wasipomaliza nafasi pili, Je watashiri kombe gani?
Watashiriki African Football League, maana kwa ukanda huu wao ni bora kuliko timu zote (nafasi ya 5 Afrika kama zinavyotambuliwa na CAF)
 
jibu lako liko hapa:
 
Wakuu kama mlivyosikia ya kuwa confederation cup limefutwa, Je hawa ndugu zetu ubuntu botho/mikia fc/mbumbumbu fc walio nafasi ya tatu kwenye ligi je watashiriki kombe gan?

Nawasikitikia sana maana naona jinsi wanavyobaki kuwa wa hapa hapa nyumban ( wamchangani)
Subiri hadi ligi imalizike mechi Bado ziko nyingi
 
Back
Top Bottom