Simba Wamewatosa CLOUDS?!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Sababu siskii clouds wakipromote mechi ya simba na al ahl shandy.Nashangaa maana hawa jamaa ni marafiki wakuzikana iweje leo wanatosana au simba "wameshtuka"?!
 
Mkuu Yahoo Simba na Clouds wamekukosea nini? Maana wewe mabandiko yako karibia yote ama ni kuwaponda Simba na Clouds ama kuwakejeli, tatizo lako na wao ni nini? najua wewe ni mshabiki wa Yanga hiyo inaweza kuwa ni kwa sababu unaikandia Simba, kwa Clouds inakuwaje kila siku hukosi kuwakandia?
 
mkuu clouds wajanja sana. Walikua wanawanyonya simba vibaya sana.eti waliweka simba tv ndani ya clouds tv madai yao wanaitangaza simba kumbe wao ndio wanajitangaza kupitia simba.!
 
Mkuu Yahoo Simba na Clouds wamekukosea nini? Maana wewe mabandiko yako karibia yote ama ni kuwaponda Simba na Clouds ama kuwakejeli, tatizo lako na wao ni nini? najua wewe ni mshabiki wa Yanga hiyo inaweza kuwa ni kwa sababu unaikandia Simba, kwa Clouds inakuwaje kila siku hukosi kuwakandia?

mkuu sio mm pekee anayeweka post za namna hiyo.Ni kweli mm ni shabiki wa yanga,kwa upande mwingine mpenda maendeleo ya soka tz,Lakini nimechukia kuona redio niliyokuwa naipenda kumbe wanafanya kazi kwa kufata hisia zao na ndio chanzo cha tff kufanya maamuzi ya ajabuajab.Jiulize kwann hatuzungumzii vituo vingine ni clouds tu..ni kwa sabb ya kutumia kalamu zao kwa maslahi ya simba wajati wanasikilizwa na fan wa timu zote. SIIPENDI CLOUDS!.
 
Mkuu Yahoo Simba na Clouds wamekukosea nini? Maana wewe mabandiko yako karibia yote ama ni kuwaponda Simba na Clouds ama kuwakejeli, tatizo lako na wao ni nini? najua wewe ni mshabiki wa Yanga hiyo inaweza kuwa ni kwa sababu unaikandia Simba, kwa Clouds inakuwaje kila siku hukosi kuwakandia?

alafu sina tatizo na simba.simba inashinda uwanjani kihalali na hata uwezo wao unaonekana ,wapo vizuri, tena nitafurahi kama wakiwa mabingwa kuliko Azam wanaohonga marefa na kusababisha vurugu michezoni
 
Basi Mkuu karibu kesho uwanjani ili tumshangilie mnyama maana ndo aliyebakia kuiwakilisha Tanzania. Kuhusu Clouds, nikupe ushauri kidogo hawa jamaa wa Clouds wakianza kutangaza habari ambazo hupendi kuzisikia unabadili stesheni la sivyo watakuwa wanakuharibia siku yako tu.
 
Back
Top Bottom