Simba Taifa Kubwa!

hao itakuwa wa hapa juzi juzi, kwa wakati huo tulikuwa tunnafata mikanda EMPIRE....!
jezi chata CANDY....! jezi nyekundu muda wote....!
Mkulu umenigusa.

Kama siyo Empire, basi pale Libya karibu na Furnituer centre, kwa yule dada wa kiarabu "Sabra" .Mikanda ya Liverpool ya akina John Adridge,Peter Beadesley,John Barnes,Steve Macmanaman na wengineo.

Ukimaliza pata hiyo raha, ukienda Taifa unakutana na "Simba ya Lushoto".

Kocha Mziray na Kibadeni.

Kipa:Mrundi Makenzi Ramadhanin na Idd Pazi"Father"

Beki:Frank Kasanga "bwalya",Adolf Kondo,"OCD" Njohole,Mavumbi Omary ,Kasongo Athumani

Mido:Marehemu Method Mogella "Fundi",Hamza Maneno,Danny Muhoja,Gagarino,Nico Kiondo(tulimtoa Kilimanjaro ya ilala pale, pamoja na Abdul Mashine),Leny Ramadhani "Abega"

Washambuliaji:Abdul Mashine,Chumila,Malota,Mogella Zamoyoni.

We acha.

Shughuli ilikuwa Zanzibar,mpaka saa sita mchana Gagarino haonekani kambini,Kaja patikana amezungukwa na mabibi wawili,kakamata mmoja huku, mwingine mkono wa kushoto,lakini mkulu akapiga visigino kama kawa.Tukaingia kwenye penalty shot out,Mwakalebela akakosa penalti.
Mnyama Huyoooooooooo.....

Mpaka
 
...wakuu vipi huko nyumbani, naskia Mnyama anatisha sio mchezo msimu huu?...

''...Simba aah aaah, Simba Taifa Kubwa!''
 
...wakuu vipi huko nyumbani, naskia Mnyama anatisha sio mchezo msimu huu?...

''...Simba aah aaah, Simba Taifa Kubwa!''
Mnyama Msimu huu kajipanga vizuri sana yaani anatishi anagawa dozi tu nakama mambo yataendele hivi hivi michuano ya kimataifa tutafanya vizuri...sema soka la Bongo fitina mara kanda mbili anataka tupokwe pointi 6....
 
Simba mdebwedo Mwaka huu mtashika nafasi ya 4 na mwaka ujao mtashuka zaidi hadi kwenye ndondo(2015/20216) dadake
 
Back
Top Bottom