Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

Hpn tumeonewaaa ila Simba Hana Cha khjitetea
Hata wataalam wa mpira wa Goal.Com wanassema Yanga iliibiwa

1712403726723.png
 
Tukio la Jana yanga kupokwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu

Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya

Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna
Kufungwa Yanga, washukuru Simba aisee !
 
Mmevurugwaaaaa..
Sasa toka usiku hamlali ooh goli goli asubui mmeamka nalo...page za caf zote na mamelode mmejaa nyie na malalamiko yenu na mitusi....tumewaachia mlalamike maana mliwapokeaga wenyewe wasauzi leo wamewababua...
Ss hatuna stress..stress mnazo nyie wa kina mwakarobo Jr...
 
usisumbuliwe na vitu vidogo hivyo vinavyoweza kuwa edited wote ukakosa pa kushikilia; wewe komalia mada ambayo haiwezi kuwa edited.
Najua bado kile kitu kilichotokea jana bado kina spin kwenye ubongo wako kiasi kinafanya ukose umakini kwenye uandishi
 
Mmevurugwaaaaa..
Sasa toka usiku hamlali ooh goli goli asubui mmeamka nalo...page za caf zote na mamelode mmejaa nyie na malalamiko yenu na mitusi....tumewaachia mlalamike maana mliwapokeaga wenyewe wasauzi leo wamewababua...
Ss hatuna stress..stress mnazo nyie wa kina mwakarobo Jr...
Usingezima simu jana ungeonekana mpira haukubabaishi kabisa kwa stress ila sasa

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mmevurugwaaaaa..
Sasa toka usiku hamlali ooh goli goli asubui mmeamka nalo...page za caf zote na mamelode mmejaa nyie na malalamiko yenu na mitusi....tumewaachia mlalamike maana mliwapokeaga wenyewe wasauzi leo wamewababua...
Ss hatuna stress..stress mnazo nyie wa kina mwakarobo Jr...
story yote jiji la dodoma Ni yanga tu nimepita vijiwe vya Simba nao wanaongelea hbr za yanga tu

Ila fans wa Simba hawan raha kbsa wanatamani wao ndio wajadiliwe ila ndio hvyo coverage kubwa Ni yanga

Jioni nitAanzisha Uzi wa Simba kujadili ubovu wa simba na kifanyike
 
Back
Top Bottom