Simba kumfunga Al Ahly wanapaswa kuwa na kikosi cha Yanga

Yanga alimpiga Al Ahly 1 Taifa na akaenda matuta kule Misri. Hiyo Game Al Ahly alikuwa anaaga mashindano.
Ko walienda matuta bila Yanga kufungwa sio? Swali lingine kwani Simba hajawahi kumfunga Ahly goli 1 nyumbani na game ya ugenini Ahly akashinda nae goli 1?
 
Unahamisha mada, ulisema Yanga hajawahi kumfunga Al Ahly.
 
Sijahama mada. Mi naenda na wewe unavyotaka... Halafu hebu leta iyo post nilo andika huo utopolo wako hapa et Yanga hajawahi kumfunga Alhy Duh! Mara nyingine uwe nakumbukumbu.
 
Wanaelewa basi simba sio wajinga kumpa team robertinyo yaani kocha unakuwa kama Patrick ausem anaenda ugenini kwa al ahly anampigia pira biriani alikufa mkono ila kocha kama kishingo yule na robertinyo huwezi kuwafunga tano halafu bado anakuja mpira wa simba ni ule aliocheza na power dynamo mpira unatakiwa uwe na balance sio unafunga goal zinarudishwa.
 
Uchambuzi

Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba kinaweza kumtoa giant Al ahly

Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao

Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa

NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
MPUUZI WEWE. AMEFUNGWA MARA NGAP. TUMIA WALAU 0.001% YA AKILI YAKO
 
Inaonekana Simba kupata nafasi ya kucheza hiyo michuano inawauma Sana, hii sijui itakuwa thread ya ngapi kuanzisha kuhusu Simba na hii michuano.
Hicho kikosi unachokisifia kilifungwa na Simba 2-0 na baadae kufungiwa kwenye ngao ya jamii.
Pia msisahau msimu uliopita mlikuwa pamoja na Simba kwenye hatua ya awali ya michuano mikubwa Africa Ila mkaangukia kwenye loser cup.
Shida ya mtu mweusi ni kukariri!

Yanga ilifungwa na Rivers United na kilichokuja kuwakuta unakijua! Walipigwa kama Ngoma! Yanga ya msimu uliopita imecheza fainali shirikisho kibabe na mwaka huu tumegeukia Klabu Bingwa mziki wake utauona usijifiche wakati Pira GAMONDI likitamalaki!
Yanga hii ya 5G weka mbali na watoto daima mbele nyuma mwiko! Makombe yote yetu usisahau ngao ni mbao sio kombe na kipa wenu alikuwa akitoka golini kabla penati kupigwa ule ushindi si halali hata ukishupaza shingo na kubisha Ukweli utasimama!

Hii sio Ile Yanga ya mwaka 47, we endelea kuota tu Kuna siku utaona Yanga ikibeba World cup na Bado utabisha na kuleta rekodi za Yanga kufungwa 5-0 na Simba mwaka 2012, miaka 11 iliyopita kulipokuwa na mgogoro mkubwa klabuni!

Amka Sasa ushangilie Pira GAMONDI kila mchezaji ni Mayele mpaka Diarra anafunga!

Simba inashuka kiwango kwa kasi ni suala la muda tu CAF wataona panapovuja Simba na kuitambua Yanga kama Klabu Bora ya Africa Mashariki kwasasa! Na sijui Makolo mtabaki na lipi la kusema maana huu ni mwaka wa tatu kombe hata la kuku hamna mmeshupaza shingo tu!

Rage alisema Simba wote ni mbumbumbu aliona mbali sana apewe Maua yake now now yuko hai!!!
 
Naunga hoja mkono
 
Uchambuzi

Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba kinaweza kumtoa giant Al ahly

Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao

Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa

NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
Ihefu nao ili wafungwe wanatakiwa wawe na kikosi cha Yanga?
Msimu uliopita Yanga ilikuwa club bingwa ikatolewa. Kwanini haikushiriki club bingwa?
Leo Simba wapo Super cup mnawaza wawe na kikosi cha Yanga.
Ndiyo maana inaitwa UTOPOLO FC
 
Umeongea kishabiki Sana ,lakini bado unahoja Simba kiukweli haijakaa vizuri lakini mpira ni dk 90
Yanga ilikuwepo kwenye club bingwa na ndiyo tiketi ya kucheza Super cup.
Mshindwe club bingwa halafu utamani watu waliofuzu kucheza supercup.
Aliyeita UTOPOLO FC hakukosea
 
Uchambuzi

Ni mjinga tu ataamini kuwa kikosi tia maji tia maji Cha Simba kinaweza kumtoa giant Al ahly

Ili kumtoa yule jamaa unahitaji watu wenye spidi kwenye kukaba. + kushambulia kama wachezaji wa Yanga .......max mzengeli .......yao

Pia unahitaji wachezaji kama Aziz ki ambao wanaweza kufunga mipira iliyokufa at least kupata goli pale mkitingwa

NB: Kama utam,betia kolo .......basi hiyo pesa nunua sabuni pigia puriView attachment 2739720
Mavi yako
 
Ihefu nao ili wafungwe wanatakiwa wawe na kikosi cha Yanga?
Msimu uliopita Yanga ilikuwa club bingwa ikatolewa. Kwanini haikushiriki club bingwa?
Leo Simba wapo Super cup mnawaza wawe na kikosi cha Yanga.
Ndiyo maana inaitwa UTOPOLO FC
Ihefu hawakucheza mpira wa kiutu uzima
 
Back
Top Bottom