Simba inatengeneza rekodi ya pekee, mchezaji wa timu nyingine akiwafunga wanamsajili

Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili.

Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.

Tumieni akili
Hebu jaribu kuweka mada yako vizuri mkuu. Unazungumzia wwchezaji wa nafasi za ushambuliaji ? Au unazungumzia kwa ujumla ?

Maana nataka nikuulize unikumbushe Benno Kakolanya na Jeremia Kisubi waliifunga lini Simba na hata ikawasajili.

Kwa ajili ya kukumbushana, wafuatao ni wachezaji 10 ambao hawakuifunga Simba na walisajiliwa Simba.

1. Kagere
2. Chama
3. Bwalya
4. Kibu
5. Jimmyson
6. Sakho
7. Banda
8. Mugalu
9. Mhilu
10. Dilunga
 
Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili. Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.
aliyefunga goli ni Gbeuli Wilfred, na anayehitajika ni Victorien Adebayor. Ulianzisha uzi kwa kukurupuka kama dog. By the way, kama sheria hazizuii, wasajiliwe tu. Yanga haisajili walioifunga kwa sababu haishiriki michuano yoyote ya CAF, kwa hiyo haifungwi 🤣🤣🤣
 
😄😃😀Msamehe Kashiba Samaki Wanaitwa Ngege Wapo Kigoma Huko
 
Back
Top Bottom