Simba Chidy Benz kwenda sauzi kurekodi albamu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,487
20,439
Simba dume kutoka Ilala boma(maana Tandale hamna simba) limesema linataka kwenda sauzi na kukaa miezi mitatu kutengeneza na kushoot video kwa ajili ya album yake mpya huku mastaa kibao kutoka Nigeria,Tz na Sauzi wakitaka kuweka sauti zao kwenye album hiyo.
Chidy alidai anaangalia kati ya Tekno,Davido,Don jazz na Wizkid nani akakae na nani amuache ili album yake isije ikasound kinaijeria sana kuliko kibongo na kuhusu nani anamuogopa kwny game sasa alisema "nilkuwa namuogopa marehem ngwea pekee"
Kwa maana hiyo Simba kurudi tena kutafanya wasanii kama weusi,ney,izzo na wengine wakose rotation nzuri kwenye redio station.
Karibu sana chidy kwny seat yako maana ilianza kupata vumbi
 
A

Anakwenda kufa kama yule wa moro.sauz unga bwelele na bei chee
 
Shauriyake alinusurika safari ile airport safari hii hatanusurika tena , upunda utawatokea puani vijana
 
Chidi kazeeka vibaya kwa muda mfupi tu mpaka anatia huruma. Ujanja mwingi mbele kiza, waambieni wadogo zenu poda mbaya
 
AMANI KWA KAKA VODA MILIONEA, WAAMBIE MADOGO WAACHE PODA WALE MMEA

images_zps69lqn6vg.jpg
 
Back
Top Bottom