Simba anavinjari Serengeti!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Kuda'adeki! Mzee mzima "anakagua" gwaride!

610x.jpg
 
Mmhh, mbona anamwangalia kwa jicho la tamaa binti wa watu. Haka kazee pamoja na makeke yake nasikia kanapenda sana 'libeneke' na watoto wadogo. Katakuja fia kifuani, shauri yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom