Siku za Watawala kukaa Madarakani

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
Hivi naomba msaada, Hayati Magufuli alikaa siku 2300 hadi umauti, hii miradi kasi unaonaje tungempa Siku 1290 kufika 2025 uchaguzi ama tukampa tena siku 3335 kufika 2034 Kama mapenzi yetu(baadhi) ya Kwanza kuwa amalizie tu awe wa milele.

Nakumbuka Dr. Peter Slaa akiwa Clouds media 2018 alisema hilo alilikataa hadharani ila kwa Sababu CCM ina awamu mbili madarakani yupo angetamani 14 iliyobaki achukue Yeye yote.

Slaa akamalizia kwa Kusema kwa Kweli utaratibu wetu ni mzuri ile miaka mitano mitano. Japo siamini huko tuendako huenda tukaona miaka 14 ya Kizimkazi madarakani natena 20/30/40 au +10 madarakani ya Chadema, Lakini yote hayo ni ya Mungu.

Nimesema nini mtazamo kama Jembe lingekuwepi Nyakati hizi?

Thanks, Nawasilisha.
 
Binafsi nina wasiwasi kile kilichotokea Burundi kuhusiana na mkanganyiko wa Katiba, kinaweza kutokea pia 2030!
 
Hivi naomba msaada, Hayati Magufuli alikaa siku 2300 hadi umauti, hii miradi kasi unaonaje tungempa Siku 1290 kufika 2025 uchaguzi ama tukampa tena siku 3335 kufika 2034 Kama mapenzi yetu(baadhi) ya Kwanza kuwa amalizie tu awe wa milele.

Nakumbuka Dr. Peter Slaa akiwa Clouds media 2018 alisema hilo alilikataa hadharani ila kwa Sababu CCM ina awamu mbili madarakani yupo angetamani 14 iliyobaki achukue Yeye yote.

Slaa akamalizia kwa Kusema kwa Kweli utaratibu wetu ni mzuri ile miaka mitano mitano. Japo siamini huko tuendako huenda tukaona miaka 14 madarakani natena 30 madarakani, Lakini yote hayo ni ya Mungu.

Nimesema nini mtazamo kama Jembe lingekuwepi Nyakati hizi?

Thanks, Nawasilisha.
Chui jike Kirimanjaro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom