Siku ya Wajinga: Je,umepatikana? Je,umempata wako?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Kuna mmoja kanikosakosa eti NMB bank ya kwetu (nakoganga) imeungua..

Mi nimemkosa "mjinga wa leo",nilimwambia awashe TV aangalie kwani Rais Obama kafariki,akastuka! Akacheka sana..
 
Dah! Leo imekula kwangu kuna masela nimewadanganya wamenimind ile mbaya.
 
kuna ndugu yaniudhi, kanidanganya kwa mara ya kwanza wazazi wametia aibu ya mwaka, eti wamekimbizana barabarani.

Nikawa nimeogopa labda wameugua na kuambukizana kichaa cha uzee.
 
dah mimi jamaa kaniambia leo kuna mashindano ya kupiga punyeto uwanja wa taifa a.k.a shamba la bibi na atakae fanikiwa kupiga bao tatu mfululizo bila kupumzika atapewa ubunge viti maalumu jimbo la arumeru..wee..wacha nitoke mbio kuwahi ticket yani saivi nipo polisi uevndi nawahi mpambano..
 
Ha ha ha... Nakudai mbavu zanguuuuuuuuu......

We Konnieeeeeeeeee.........
 
dah mimi jamaa kaniambia leo kuna mashindano ya kupiga punyeto uwanja wa taifa a.k.a shamba la bibi na atakae fanikiwa kupiga bao tatu mfululizo bila kupumzika atapewa ubunge viti maalumu jimbo la arumeru..wee..wacha nitoke mbio kuwahi ticket yani saivi nipo polisi uevndi nawahi mpambano..

Gozo huyo..
 
Back
Top Bottom