Chungurumbira
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,170
- 571
Quote: Leo siku ya tarehe 10[SUP]th[/SUP] October, 2013 ni siku ambayo shirikia na Afya Duniani WHO na idara zake, Serikali mbalimbali zilizoridhia mkataba wa Afya Bora Dunia pamoja na taasisi mbalimbali za Afya Duniani kote zinaadhimisha siku ya magonjwa ya akili "UKICHAA"
Ukumbuke kuwa Tanzania pia ni nchi ya pili kutoka mwisho katika kuhudumia wazee!! Sasa afya ipi zaidi ya ukichaa wa wanaCCM!!
Ukumbuke kuwa Tanzania pia ni nchi ya pili kutoka mwisho katika kuhudumia wazee!! Sasa afya ipi zaidi ya ukichaa wa wanaCCM!!