Siku ya Mashujaa

Robbie

New Member
Jul 25, 2012
3
0
Nauliza eti kuna mtu yoyote anayejua sababu za kuvalishwa suti mashujaa walioudhuria sherehe yao wakati mashujaa waliopo Mara wamecho na mavazi yao!?
 
Tanzania kuna shujaa gani?
Akitokea mtu wa kujitoa muhanga hata kumpiga kwa jiwe tu JEETU PATEL na mafisadi wengine nitaamini kweli tuna mashujaa.
Sisi kila siku tuko busy kuwapiga mawe wezi wa kuku, wale walioingiza Taifa kwenye mgao wa milele wa umeme tunawaacha waendelee kutesa wakati sisi tukiteseka
 
hata hivyo hao wazee wetu mashujaa wamesahaulika yani hadi siku kama ya leo ndo wanakumbukwa!
 
Back
Top Bottom