Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 396
- 646
Siku hizi za karibuni ni kwanini hatusikii tena nchi yetu kwenye siasa za kimataifa katika kutatua migogoro na kufanya upatanishi kama hapo awali kwa nchi majirani zenye migogoro ya kisiasa na vita.
Mfano mgogoro wa Rwanda na Congo mpatanishi ni Angola, wakati ni majirani zetu. Au zama zimebadilika.?
Mfano mgogoro wa Rwanda na Congo mpatanishi ni Angola, wakati ni majirani zetu. Au zama zimebadilika.?