Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Umeme 42 units 15,000Weka hesabu.
Mchele 5 kg 10,000
Samaki 2 kg 19,000
Kuku 1 20,000
Ng'ombe 2kg 16,000
Mbogamboga, nyanya, vitunguu, na viungo vingine 10,000
Hausgel 5,000
Misc 10,000
Umeme 42 units 15,000Weka hesabu.
Umeme 42 units 15,000
Mchele 5 kg 10,000
Samaki 2 kg 19,000
Kuku 1 20,000
Ng'ombe 2kg 16,000
Mbogamboga, nyanya, vitunguu, na viungo vingine 10,000
Hausgel 5,000
Misc 10,000[/QUOT]
Naona umeamua tu kuandika ili mradi 100,000 iishe.
Kumuelewesha chizi unajipa kazisoma uzi vizuri na uelewe
Hapana mkuu , kule yombo dovya Kuna hadi vya buku tano. Niombee samahani kwa watu wa yombo lakinsio umekariri kweli manzes
e na tandale?
Kama hujaelewa alichoandika na hautaelewa kamwe. Watu wengine mnapenda misifa sanaHiyo heading inaonesha kilicho ndani. Umesema siku hizi sh elf kumi ni sawa na laki moja. Kwamba 10,000 = 100,000. Which is which!?
mkuu hebu njoo PM unioneshe iko chumba nna kihitaji maana ivi vyumba vya kilo na ushee nimeona havina maana, nataka iko.Mkuu usiangalie hali yako tu, tambua Kuna wengine wanavitumia hivyo. Half mbona hata Kinondoni vipo mkuu
Ha ha ha, ukishazoea vya laki utaweza vya ten kweli mkuu?mkuu hebu njoo PM unioneshe iko chumba nna kihitaji maana ivi vyumba vya kilo na ushee nimeona havina maana, nataka iko.
Goba unapata chumba kwa bei hiyo ila Umeme hakunaHiyo kodi 15,000 labda chumba cha udongo kisicokuwa na umeme.
maisha popote.......!!Ha ha ha, ukishazoea vya laki utaweza vya ten kweli mkuu?
tzs 90,000 unapata kg 45 za mchele grade ya juu.Ili upate ukweli nenda benki, au popote unapotunza pesa yako, chukua laki alafu mpe 90 rafiki ako, nendeni shopping tuone nani atatoka na kitu cha maana
nahisi hili linahitaji wachumi wabobevuIngawa Mimi sipo hapo TZ kwa sasa lakini ni vizuri kuuliza ili kuelewa badala ya kuchapa Na kuandika pumba.
Watu wengi wanasema hela zimepotea mitaani, Na hela zinapopotea nijuavyo inakua ngumu kwa wafanya biashara kuuza bidhaa zao, hatimayake ni bei kuporomoka. Enzi za Mh. Mwinyi ilikua ni enzi za ruksa, hela nje nje na dhamani ya shilingi inashuka, dola ikapaa juu.
Lakini hii ya leo kama mimi ni mfanya biashara Na wateja hawana uwezo wa kununua bidhaa zangu lazima ni shushe bei. Ebu tuelewwsheni mnao kua hili suala,
safi sanatzs 90,000 unapata kg 45 za mchele grade ya juu.
tzs 90,000 unaweza kupata zaidi ya kg 30 za sukari
tzs 90,000 unaweza kununua matofali 90
tzs 90,000 unaweza kununua mifuko 8 ya saruji
Naweza kujaza hii page kukuandikia vitu vya muhimu unavyoweza kupata kwa tzs 90,000. Hebu acheni kukufuru ukiamua kutumia kwa vitu vya hovyo hata bilioni sio kitu.