Dullo JF-Expert Member Oct 24, 2009 251 64 Apr 9, 2013 #1 Matangazo ya moja kwa moja toka Bungeni Online, bofya link hii hapa kuweza kusikiliza Dullonet Live | Dullonet Tanzania
Matangazo ya moja kwa moja toka Bungeni Online, bofya link hii hapa kuweza kusikiliza Dullonet Live | Dullonet Tanzania
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Apr 9, 2013 #2 Asante sana mkubwa! Nimeipata na iko hewani!
KIBURUDISHO JF-Expert Member Mar 28, 2011 1,002 274 Apr 9, 2013 #4 Mbona mimi naona list tu ya redio nyiiingi nifungue hipi?
C CAY JF-Expert Member Jan 20, 2011 505 105 Apr 9, 2013 #5 Shukrani mkuu,nalipata bunge bila mikwaruzo!
Fekifeki JF-Expert Member Nov 18, 2011 1,453 570 Apr 9, 2013 #6 Ahsante ''Afande Spika'' Ha...ha....haaaaa..... Kauli ya Mbunge fulani hapo Bungeni!!