Sikiliza Bunge Leo - November 2.2012

Bunge la wapenda posho wakishasain wanaingia mitini viti vinabaki utupu.kama unabisha ngoja kipindi cha maswali kiishe.
Na kuna siku sipika naye atatoroka
 
Khaaaa wabunge bana yaaninwanajadili kwa nini wafungwa wasipigane kavu kavu ,wisho wa Kweli na wanandoa wenzao
 
Ahsante kwa wale waliotupa taarifa ya sauti kuwa ndogo, tayari sauti imeboreshwa kwa kupitia vifaa vingine ili uweze kupata sauti matangazo haya vizuri, kuhusu link ya Runinga tunasubiri huduma za internet kuimarika katika sehemu kubwa ya nchi kwa ubora na gharama kabla hatujaanza kutoa huduma hiyo, ila tayari tumeanza kujiandaaTafadhali endelea kusikiliza Bunge kupitia Arusha Mambo FM na habarisha wengine kusikiliza.
 
ahsante kwa wale waliotupa taarifa ya sauti kuwa ndogo, tayari sauti imeboreshwa kwa kupitia vifaa vingine ili uweze kupata sauti matangazo haya vizuri, kuhusu link ya runinga tunasubiri huduma za internet kuimarika katika sehemu kubwa ya nchi kwa ubora na gharama kabla hatujaanza kutoa huduma hiyo, ila tayari tumeanza kujiandaatafadhali endelea kusikiliza bunge kupitia arusha mambo fm na habarisha wengine kusikiliza.

mkuu, jioni hii hamko hewani au??? Nawatafuta kwa kila njia nawakosa nataka kusikiliza bunge
 
Back
Top Bottom