Expedito Mduda
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 522
- 240
Tanzania sasa ni moto. Maisha yamekuwa magumu sana. Madaktari wanagoma, walimu nao wapo njiani. Kila kona watu wanalalama maisha magumu.
Sijui la kufanya. Viongozi wengi wamekaa kidili dili tu. Wamewasahau kabisa wananchi wao. Jamani Tanzania ya enzi za mwalimu iko wapi? Ee Mungu waite kwako mafisadi wote kabla nchi yetu haijaangamia!!