Sijui Kiingereza,nilichekwa baada ya kubumunda lugha ya watu

ESPIRIT

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
665
522
Nimekosa shule siku mbili, nilikuwa na msiba. Najaribu kujieleza kwa mwalim wangu wa darasa kwa kiingereza, SORRY MADAM,I WAS NOT PRESENT TWO DAYS BEFORE BECAUSE I WAS DIED. Ananicheka. Nauliza. Kiingereza sahih cha kufiwa ni kipi.
 
Mimi pia, kinanipa tabu.
I tried you but where (nilijaribu weee lakini wapi)
 
Nimekosa shule siku mbili, nilikuwa na msiba. Najaribu kujieleza kwa mwalim wangu wa darasa kwa kiingereza, SORRY MADAM,I WAS NOT PRESENT TWO DAYS BEFORE BECAUSE I WAS DIED. Ananicheka. Nauliza. Kiingereza sahih cha kufiwa ni kipi.
!
Rip bana...aahh oops kumbe sio wewe
 
bora hata we umejaribu kuwakilisha, kuna wengine hata kutamka hayo maneno ni shida!!
 
Nimekosa shule siku mbili, nilikuwa na msiba. Najaribu kujieleza kwa mwalim wangu wa darasa kwa kiingereza, SORRY MADAM,I WAS NOT PRESENT TWO DAYS BEFORE BECAUSE I WAS DIED. Ananicheka. Nauliza. Kiingereza sahih cha kufiwa ni kipi.

hizi elimu hizi????...ufafanuzi tafadhari,,...
[h=3]Nimuoe yupi kati ya hawa?[/h] Started by ESPIRIT, 23rd July 2014 22:02

Ndugu wana JF, mimi nina miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano na wasichana watatu. STD7, chuo na wa cheti. Hawa wametokea kunipenda,.

Muda wa kuoa umefika, nachanganyikiwa nimuoe yupi. Huyu std7 ana akili ya maisha, huwezi kumsikia akiniomba hata vocha. Ni mm naamua kumtumia. Hofu yangu je, mimi nina mastaz ya elimu.

Je,tutaendana ?
cc: King'asti, andate, Mokoyo,
 
kuna kujua kiingereza kutamka shida, kuna kujua kuongea kuandika shida, kuna kubangaiza kuongea kuandika safi kabisa, hayo ndio matatizo ya wengi wetu sisi watanzania, so no problem utakapo weza ndio hapo hapo. Lungha ni ile watu wanaweza kuwasiliana. Mi Kiswanglish no problem!! Kwani hamjui kiswanglish kimekubalika serekalene!!!!
 
hizi elimu hizi????...ufafanuzi tafadhari,,...
Nimuoe yupi kati ya hawa?

Started by ESPIRIT, 23rd July 2014 22:02

cc: King'asti, andate, Mokoyo,
TYTA umeua!mi nilitaka kumwambia si kiingereza chako tu hata kiswahili chake shida tupu,pia kwa nukuu zako hapo umetufunulia kuwa huyu mtu anaishi maisha ya kujiongopea na anatamani angekuwa na elimu ,tatizo hataki kujielimisha kwa hiyo amebaki kuishi kwa fantasy ya mtu mwenye elimu!Ahsante Tyta we wajua kuwafuatilia wazushi na watoto wadogo(27yrs mdogo au akili finyu?)
 
Jibu hili hapa
 
Attachments

  • 1410545310103.jpg
    1410545310103.jpg
    27.6 KB · Views: 243
Nimekosa shule siku mbili, nilikuwa na msiba. Najaribu kujieleza kwa mwalim wangu wa darasa kwa kiingereza, SORRY MADAM,I WAS NOT PRESENT TWO DAYS BEFORE BECAUSE I WAS DIED. Ananicheka. Nauliza. Kiingereza sahih cha kufiwa ni kipi.

Duh! Maana hata maelezo ya kiswahili nayo utata...mi wala sichekani nawe...
 
Back
Top Bottom