Sijui ananitega au vp!

Duh yaani wewe alikufanya spare tyre, amepata pancha anapachika nyingine mwendo mdundo. Changanya na zako mkuu, au una mpango wa kuchakachua tu? Binafsi mdada akiniambia ana bf imetoka...

Picha inakuwa imeungua iwe alidanganya au ilikuwa kweli na jina nabadilisha naanza kumuita shem. Yaani leo hii ujue yuko na njemba yake wanakula bata halafu wiki ijayo anajipendekeza kwako, makombo uyale bila kujua kuwa ni makombo.

Ukijuwa kabla inakuwa ngumu kumesa...

usafi wake uko wap mkuu?

given other factors constant kasoro ile ya kuwa na msela, baada ya kuwa marafiki, ile sababu ya kutokukujua kitabia hai-hold

alikuwa akihitaji sababu ya kuingia kwenye mahusiano na wewe

huyo anatengeneza mazingira ya kukuchuna.kama hauamin mwambie akupe game uone ka atakubali.wewe unacheza na wanawake.kwa hiyo wewe kuitwa honey?mwizi huyo.mia

Mibongo hata hutujui mapenzi we unaamini kupewa game ndo kukupenda...wana hasara wote uliowahi kulala nao

that gal is good brother ila unavyoongea unaonekana umekaa kimsela msela kwel kwel...sijui unamtaka wa kumchakachua tu maskini..

Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac kuanzia pale 2kawa marafik wazur..

Imetokea juzi kati kaanzsha tabia ya mara kuniita honey, luv, swthat etc, kaanza kukagua cmu yangu na kila jina la msichana into my 4n anataka kumjua ni nani kwangu,ameenda mbali zaidi kaanza tabia ya kuninunia kila anaponiona natembea na gal mwingne barabarani!!sasa wakuu huyu mmanzi inakuaje au ndo kaingia kingi hvo?

Senator,hiyo ni kama vile vodacom wanavyosema, "KAZI NI KWAKO".

We mliemikausho ucmuombe game ila mahusiano yaendelee kama kenya maana kwanza hakuwa kwenye wazo lako la kumdoo tangu ile cku alokujibu kwamba ana jamaa hapo utamuona yy jinsi atakacho kueleza

Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac kuanzia pale 2kawa marafik wazur..Imetokea juzi kati kaanzsha tabia ya mara kuniita honey, luv, swthat etc, kaanza kukagua cmu yangu na kila jina la msichana into my 4n anataka kumjua ni nani kwangu,ameenda mbali zaidi kaanza tabia ya kuninunia kila anaponiona natembea na gal mwingne barabarani!!sasa wakuu huyu mmanzi inakuaje au ndo kaingia kingi hvo?
senator toto hili ni 'wife material' kama unataka kupita tu acha mara moja lakini kama unataka kuwa naye na baadae kumuoa endelea,hilo la kuwa na BF tupa kule chukua hiyo ya alikuwa hajui tabia yako na sasa baada ya kukufahamu kama rafiki wa kawaida anaanza kukupenda ndio maana anataka kujuwa hawa wakina Janet na Hawa waliojaa kwenye simu ni kina nani ? si anataka uwe mume wake lazima akuchunguze.
Na ole wako ukifata ushauri wa hawa masharobaro eti kula mzigo sepa, 'wife material' wanakuwa na mikosi ukiwachezea naongea from experience.

asante kwa mawazo yako mkuu.

utazama uwemakini hawa watu sio wazuri unaweza ukakuta amepigwa kiboot ndio anaanza kunyemelea kwako kwa nini mara ya kwanza hakuonyesha upendo hakufai kuwa mke labda kula na kutembea

Mshikaji kuwa makini labda kashaukwaa anataka abiria mwingine. Miezii 7 mh!!!!! hata kama.........................

asante mwanangu wa kambo! una akili kama baba yako,u made me proud! usharoharo sio wenyewe kabisaa!
senator toto hili ni 'wife material' kama unataka kupita tu acha mara moja lakini kama unataka kuwa naye na baadae kumuoa endelea,hilo la kuwa na BF tupa kule chukua hiyo ya alikuwa hajui tabia yako na sasa baada ya kukufahamu kama rafiki wa kawaida anaanza kukupenda ndio maana anataka kujuwa hawa wakina Janet na Hawa waliojaa kwenye simu ni kina nani ? si anataka uwe mume wake lazima akuchunguze.

Na ole wako ukifata ushauri wa hawa masharobaro eti kula mzigo sepa, 'wife material' wanakuwa na mikosi ukiwachezea naongea from experience.

Mibongo hata hutujui mapenzi we unaamini kupewa game ndo kukupenda...wana hasara wote uliowahi kulala nao
wewe unafikili mapenzi ni kukagua simu na kusema luv u?au kila unaemuomba game lazima ucheze?ni uamzi wako.mpenzi wako lazima umpe interview ya mazingira ili uweze kumsoma yupo upande gani.unaweza kuta anajiweka karibu baada ya kuona jamaa ameanza kupata hela.huwezi jua.mia

ameanza kukupenda sasa, kazi kwako

Jamani si jana tu tumilijadili hili tena mdada wa watu alidai hakutegemea kupelekwa hoteli na zaidi ya yote kuambiwa ameshaoa? Teteteteeeeee! Kaka we kamua halafu ili kusawazisha mambo mwambie kuwa na wewe una mtu. Ila usimwambie kabla ya kumdonoa, mdonoe kwanza then mwambie utaona anafurahia tu kuliko ukimwambia kabla ya kumdonoa. Mwalimu wao mmoja!

Back
Top Bottom