Sijawahi 'perform poor' kiasi hiki mpaka wife ameshangaa

Ndomana me naunganishaga na cha pili no stop,mambo ya kupumzika baada ya kwanza ndo husababisha mwanamke anafreeze anaanza mwanzo kihisia(coz cha kwanza ndani ya dkk 1 hadi 2) so usipomfikisha actually lazima anune tu..Maana yy kwenye akili yake alijua kwa kuwa sasa umepumzika sasa umpe show ya kibabe na ww umembwela....Faida ya kuunganisha ni kuwa lazima mwanamke akojoe so mkipumzika hata mkianza tena anakuwa satisified tayari!
Yani cha kwanza unafanya dakika 2? Umekua kuku?
 
Huyo mkeo ana gubu mkuu. Sio kila siku binadamu anakua kwenye ubora wake.
 
Habari zenu wanajamvi

Kuna kitu tusaidiane kidogo ndg zangu. Ninaimani wengine pia watasaidika na michango itakayotolewa.

Iko hivi:

Nilikua kikazi mkoani takribani mwezi mzima. Juzi nimepata nafasi kidogo nikasafiri usiku mzima kurudi nyumbani. Nimefika wife kanipokea nikalala.

Kesho yake Kama kawaida ya wanandoa wife kaniita nikaitika tukasafiri Safari ya Kwanza salama. Kimbembe kimekuja wakati tunaianza safari ya pili. Gari limezimika mwanzoni kabisa mwa Safari. Tukiforce linawaka tena linazima.

Mpaka muda huu wife kanuna hatari anapaki aondoke kwa kuhisi nimefanya usaliti ndo maana iko hivyo. Hali hii ni ngeni kwangu na imenishangaza sana.

Leteni michango yenu nijue nafanyeje? Maana yake JF Ni nyumbani.

Naamini wengi watasaidika kutokana na hii ishu yangu
Haya mambo ni kawaida sana huwa inatokea asikariri maisha shemeji cha muhimu pumzika mambo yatakuwa sawa tu
 
Habari zenu wanajamvi

Kuna kitu tusaidiane kidogo ndg zangu. Ninaimani wengine pia watasaidika na michango itakayotolewa.

Iko hivi:

Nilikua kikazi mkoani takribani mwezi mzima. Juzi nimepata nafasi kidogo nikasafiri usiku mzima kurudi nyumbani. Nimefika wife kanipokea nikalala.

Kesho yake Kama kawaida ya wanandoa wife kaniita nikaitika tukasafiri Safari ya Kwanza salama. Kimbembe kimekuja wakati tunaianza safari ya pili. Gari limezimika mwanzoni kabisa mwa Safari. Tukiforce linawaka tena linazima.

Mpaka muda huu wife kanuna hatari anapaki aondoke kwa kuhisi nimefanya usaliti ndo maana iko hivyo. Hali hii ni ngeni kwangu na imenishangaza sana.

Leteni michango yenu nijue nafanyeje? Maana yake JF Ni nyumbani.

Naamini wengi watasaidika kutokana na hii ishu yangu
Uzoefu kautolea kwa nani?
 
Wanawake wawe na akili.Nimewahi kuchepuka mara mbili siku moja na nilipo rudi nyumbani nikapiga "live band" kama kawaida.😝😝😝😝😝
 
Umepona tatizo lako......karibu utumie virutubisho vya forever living product kama argi+ na multi maca inasaidia kwa wenye tatizo kama lako
 
Huyo mwanamke nae asilete za kuleta au ndoa yenu ina miezi 6? Sie wengine wenye ndoa za miaka kadhaa hata hiko kimoja ni michosho tuu siku hzi kiwepo kisiwepo poa tuu.
 
Back
Top Bottom