ukweli ni kwamba, hakuna mwanamke atakuwa ana-enjoy muda wa dk 50, yaani hata kama.... bwana we!
...'Calories burned' kwa Saa moja kasoro dakika kumi kufunga Bao moja linakutosha ndugu yangu, ujenzi wa taifa pia unakusubiri wewe![/COLOR]
...shishi, wapo! 'nazi haikuniki uikunapo upande mmoja' lazima uigeuze geuze mpaka yote ikunike!' ...na ukunaji mzuri shurti kwa muda!
pia hili laweza kuwa tatizo, hivi maumbile yenu yanafanana? aisije mkeo akawa ni mpana kuliko wewe ukawa husuguki vizuri? hii pia yaweza kuwa tatizo.
mimi jamani nimeoa, lakini toka nianze kujihusisha na mapenzi hata kabla sijaoa, sijawahi kupata bao la pili, bao la kwanza lenyewe huwa linachukua karibia dakika 50. nikianza kufanya mapenzi hadi mke wangu anasema amechoka na mimi nakaza misuli na kukojoa, lakini nikishakojoa tu, ndo sipati lingine hadi kesho au keshokutwa. hivi ni kawaida? na kwenda hadi dakika 50 ni kawaida? huwa natamani niende walau bao la pili lakini mwanamke huwa anakuwa ameshamaliza hamu kabisa, na mimi nikikojoa tu, yaani sina hamu nyingine. nifanyeje? kuna dawa? kama zipo, zinauzwa wapi?
Just to be curious,una rank vipi kiwango cha mwenzi wako.Do have enough foreplay kabla ya mechezo kamili na je unamtamani mwezi wako? May be baada ya hivi feedback tutapata black and white.
ushauri wangu kwa hili ndugu, ninahofu haya yafuatayo, kwanza je ni kweli akili yako huwa katika hicho unachokifanya kama alivyotoa maoni mmoja wa wachangiaji hapa, nadhani kwa uelewa wangu mdogo hili ni suala la kisaikolojia au utendaji mdogo au maandalizi mabaya.
ningependa kukushauri haya yafuatayo.
kwanza, maandalizi - kiakili, kimwili na michezo ya mwanzo kabla ya kuanza pirika halisi, long romance zinasaidia kufanya real play kuwa fupi na yenye furaha kwa kila mmoja
pili, ufundi wa uwanjani ni muhimu sana kusaidia kupeleka mchezo uwe na ladha na hivyo kusaidia kumaliza na kutosheka wote wawili kwa muda mfupi, hivyo inabidi uzingatie ufundi wako na wa mwenzio na kama pana upungufu utafute jinsi ya kkupresent kwa mwenzio ili ajue kuwa participation yake ni ya muhimu sana kwako, nadhani hizo dk 50 kwa mwanamke wa pwani anayejua mizungu zaweza pungua zikawa 5-10 mchezo umeisha!!! hahahahaaaa ila ukweli si wa pwani peke yao hata uliyenaye mpe nafasi ya kujifunza na wewe uwe ni mwalimu wake!!
tatu na wasiwasi unaweza kuwa huwa haupo katika uwanja kimawazo hivyo zitume hisia zako hapo,
hayo ni maoni yangu, ukweli wa mazingira unao wewe pengine yote hayana tatizo ila ni maumbile yako, natumaini hapa utapata wataalam
Inawezekana but this is funy tehe tehe tehe.
Tatizo jingine huyu bwana inabidi ajibu maswali yetu tupate feedback au ni mzaha huu.!?
Dawa za tatizo hili zinaitwaje?na pia tatizo alilosema mara ya kwanza.Kwa kuwa umesema ni cream.ingekuwa vyema ungesema na jina lake ili umsaidie.tusitoe clue but exatly answers.
Dawa ya kuchelewesha inaitwa Delay spray/cream,ya kuwahisha inaitwa Sensitising spray/cream,zote ni za kupaka kwenye mlingoti