Sijapenda matumizi ya label ya Maokoto kwenye bia ya Serengeti Larger ndogo

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,066
Kampuni ya Serengeti nashauri wejiheshimu na waheshimu brand ya wateja wao wanatumia neno la kihuni na lenye matumizi yenye weight kubwa ya negative connotation hasa sehemu zetu za kula bata.

Tafadhari Serengeti breweries mjitafakari sana baadhi yetu tumetoka mbali sana na hii bia sio poa mlichotufanyia.

Am so disappointed with this maokoto label.

This is typical brand dilution.

Nothing more am done

Wadiz
 
Unakunywa beer au unakunywa label, by the way that's marketing strategy.
Hujielewi hujui chochote, that's a very low profile synergy, this beer is preferably and common among middle class and high class income earners.

Anyway it's up to them to see things in their own way labda Watanzania hawajielewi, baada ya kuona huo upumbavu nimeipotezea hio bia
 
Bro huna hela. Kelele zote hizi ni ukosefu wa pesa.
 
Hujielewi hujui chochote, that's a very low profile synergy, this beer is preferably and common among middle class and high class income earners.

Anyway it's up to them to see things in their own way labda Watanzania hawajielewi, baada ya kuona huo upumbavu nimeipotezea hio bia
Hilo neno Maokoto rootage yake ni huko low class, na ndiyo wateja wao wakuu. Those very few middle & high class ni kama residual tu au error term. Hakuna mtu wa class hiyo unayosema mwenye muda wa kuhangaika na label au ku claim. Kuna vinywaji vya kufikiwa level hiyo na sio serengeti lager, ungekuja kulalamika serengeti wameandika neno Hamas hapo ungeeleweka labda.
 
Hivi kuna whiskey ya kale au wine ya kale?
Usikalili mkali pata elimu kwa wakomgwe wa hizi mambo
Macallan “The Reach” 1940
: This is considered to be the oldest whiskey in terms of time spent aging in the cask. It was aged for 81 years before bottling, and the first one in the collection sold for $340,000 at a 2022 Sotheby's auction.
 
Neno MAOKOTO ni swaga tu, limeibuka hivi karibuni na liko hot kutumika kwenye mambo ya kusaka hela. Ni neno la msimu tu na tayari linaenea kwenye ma deaf flapper ya magari, bajaj na bodaboda. Watu wanalitumia neno hili kama fasheni mpya tu kwenye mambo yao ya kukusanya hela. Usishangae kusoma id ya member mpya humu imeandikwa mzee wa maokoto. Nimeletewa bajaj niiandike zingatia maokoto, maokoto ni neno linalovuma sana kwa sasa kwenye biashara za watu
 
Kampuni ya Serengeti nashauri wejiheshimu na waheshimu brand ya wateja wao wanatumia neno la kihuni na lenye matumizi yenye weight kubwa ya negative connotation hasa sehemu zetu za kula bata.

Tafadhari Serengeti breweries mjitafakari sana baadhi yetu tumetoka mbali sana na hii bia sio poa mlichotufanyia.

Am so disappointed with this maokoto label.

This is typical brand dilution.

Nothing more am done

Wadiz
Kwa ufupi maokoto ni lugha ya kimasikini kuashilia maisha ya kuunga unga...
 
Hivi kweli kelele zote hizi sababu ya neno maokoto tu kwenye lebo?

Kweli mtu uache kunywa bia uipendayo sababu tu nje ya chupa, narudia tena nje ya chupa kuna ka neno ka herufi 7 kameongezwa tena ka font ndogoooooo?

Eiza wakati unaandika uzi huu tayari ulikuwa umelewa hiyo hiyo bia alafu unaikashifu au naungana na wandewa hapo juu kuwa Huna hela umevamia tu fani ya wanywaji
20231021_180545.jpg
 
  • Thanks
Reactions: apk
Wanadai zenye lable ya makoto zinanuka

Jamaa alika'taa kabisa akasema hataki yenye lable ya maokoto Ina harufu. I sijui 'i hiyo gundi
 
Back
Top Bottom