Sijamtongoza kanipa penzi, hali hii tutapata wanawake wa kuoa kweli?

Hiyo inamaanisha hukumfikisha kunako,hukuwa na viwango anavo vitaka.Ungemfikisha bila shaka asinge kutolea nje eti ana boyfriend.

Sijui we ndio wale wanaume wa dar?
Kwel kabsa.....

Ubaya vjana wa cku iz wanapenda sana chips mayai.......
 
Kwel kabsa.....

Ubaya vjana wa cku iz wanapenda sana chips mayai.......
Tena wamesogezewa karibu kabisa lile tamasha la "Zege" Chipsi Yai linatangazwa sana na clouds tv...kijana unajaza artificial mwilini, yai ndio hivyo halina baba, kuku madawa tupu, Chipsi zenyewe zinalowekwa kwenye mafuta yaliyojaa cholesterol tupu...Sasa ukiachiwa shoo ya kirafiki "friends with benefit" wataalamu wanasema unapiga tako tatu tu wazungu nje... kweli kabisa utategemea huyo mwanamke awe na malengo na mtu wa namna hiyo???
 
Habari za muda huu wadau,

Nilikuwa nataka kushare na nyie jambo flani lilinikuta this week ili tujadili kidogo. Kuna mschana flani nilikuwa nampenda long time lakini sijawahi kumwambia ila tulikua tumezoeana kimtindo sasa juzi kati nimerudi kitaa nimemkuta na yeye ndio amemaliza form 6 yupo mtaani anasubiria majibu.

Nilikutana nae last week tukabadilisha namba after we chat for a while nikamualika aje gheto. Alikuja juzi sasa baada ya story we found ourselves having sex ila sijamtongoza hata, mwenyewe sikuamini nikajua labda na yeye alikua ananielewa.

Sasa kituko ni leo asubuhi nikamuuliza vipi ana mpango gani na mimi eti ananiambia ana boyfriend wake na hawazi kuchanganywa mabwana wawili sasa najiuliza ilikuaje akakubali tusex na uyo bwana wake ambae anadai yuko chuo anajua ana girlfriend wake yupo mtaani.

Hivi kwa hali hii hata tukija kuoa si tutamegewa sana?
Ulitumia dawa ya penzi?
 
Mkuu umemgegeda kizembe Sana aisee mpaka kaamua kuzingua kuwa ana bf wake ila kama ungegegeda mpaka unasimamia kucha ungemuuliza swali kama hilo ungeambiwa nakusikiliza wewe baba.
 
Yaani wewe unamshangaaje malaya mwenzio! Utammegaje dem hujatongoza hlf unamshangaa. You two are all the same. Mwanaume anayejitambua na mwenye msimamo hawezi chovya dyudyu yake kwenye K iliyojileta tu.
 
ha ha ha hiyo hali hata mimi inaninyimaga raha..

kuna mdada nilimfukuzia sana zaman tukapotezana siku tunaonana... akanikaribisha kwake nami akaja nitembelea kwangu...

story story na utani mwingi tukajikuta tume duu.. baadae ananiambia ana mchumba wake hawez changanya wanaume wawili.. wakati anayasema hayo tupo kitandani amelala kifuani...

nikasema kweli kazi ipo hiki kizazi.. hata ndoa tunakamilisha ratiba tu..

uaminifu hakuna kabisa
Kama wewe unammega wa mwenzio kwanini na wako asimegwe??
 
ha ha ha hiyo hali hata mimi inaninyimaga raha..

kuna mdada nilimfukuzia sana zaman tukapotezana siku tunaonana... akanikaribisha kwake nami akaja nitembelea kwangu...

story story na utani mwingi tukajikuta tume duu.. baadae ananiambia ana mchumba wake hawez changanya wanaume wawili.. wakati anayasema hayo tupo kitandani amelala kifuani...

nikasema kweli kazi ipo hiki kizazi.. hata ndoa tunakamilisha ratiba tu..

uaminifu hakuna kabisa
chunguza vizuri ukiona hivyo shoo ilikuwa mbovu
 
MKUU kuna vitu viwili hapo inabidi utafakari. moja inawezekana demu amekuta yaliomo sio alivyo tarajia[maybe hujui kugegeda au hujamfikisha alipo tarajia so akaona ili usije kujiweka mazima bora akwambie hivyo]. pili labda amekuona mawazo yake na yako tofauti, story unazopiga au kakuona hujajipanga kimaisha hahaha.tafakari mengi nainawezekana usipewe tena.nimtazamo tu
Umeua ahaha
 
Underperformance imekuponza mkuu,jitoe CHAPUTA kwanza pia acha kushindia sles 3 za mikate ya bakhresa mkuu,
 
Back
Top Bottom