Sijaelewa Tundu Lissu alipata wapi Ujasiri wa kumkosoa Magufuli hadharani akiwa hai. Sasa naona mbwa koko ndio Wanabweka

Hahahaaaa.......nimezungumzis Lisu na Magufuli siyo na Kavishe!

Beberu anaiita kuwa kanuni ya dole gumba:

1. Kuwa mchokoza mada, uwe na kumbukumbu.
2. Kuwa mwongo, jifunze kwanza kukumbuka.
3. Kuwa mwizi, jifunze kwanza mbio

Wewe bwashee kumbukumbu baadaye?

Hiiiiii bagosha 😂😂!
 
Kiukweli nichukue fursa hii kukiri kuwa Tundu Antipas Lisu ni mwanasiasa mpambanaji wa viwango vya dunia.

Alithubutu kwa ujasiri mkubwa kumshauri na kumkosoa Rais Magufuli wakati wa uhai wake bila uwoga.

Hii ni tofauti na wanasiasa wengine wote wa upinzani ambao walimuogopa sana Magufuli akiwemo Zitto Kabwe ambaye aliogopa kutoka bungeni wakati wabunge wote wa upinzani walipotoka kuwaunga mkono CUF walioonyesha hasira zao kwa maalimu Seif kuporwa ushindi ( tuhuma).

Baada ya Magufuli kutwaliwa ndio Zitto kaanza kumsimanga.

Mwingine ni Nape Nnauye mtoto wa mwanajeshi lakini aliingia Ikulu huku analia na leso ya kujifutia puani mkononi akamshika miguu Rais Magufuli amsamehe kwa kosa la kumsengenya kwenye simu.

Maendeleo hayana vyama!
YEAH
 
JPM alikuwa ni Rais bora ambaye kuna sehemu muhimu nchi ilimhitaji sana kuliko mapungufu yake ambayo yalisabishw na lack of controll maeneo fulani....

Binafsi nimefanya research juu ya mapenzi ya watu kwa huyu bwana, ukweli uliowazi JPM anaishi kwenye mioyo ya watu wengi saaana..

Ni leo tu usiku huu nimepita moja ya barabara maeneo fulani ambayo naamini ni feeder load, nikasema mbele za watu serikali inapaswa kujenga hii barabara, majibu ya raia ni "dah si kwa serikali hii angekuwepo jembe JPM angetia lami zote hizi"....hiyo ndio response ya raia

Hata serikali hii ikitaka iwe inaaminiwa basi iachane kabisa na kumsema sema yule jamaa aisee, upende na trust ya watu kwa JPM ilikuwa kubwa sana.....
NA MALARIA UNAYO SIO BURE, MMEVURUGA NCH SANA NINYI AWAMU YA 5 HOVYO KABSA. KUGEUZA NCH NZIMA KUWA KIJAN KWA KUENGUA WAGOMBEAJ WA UPINZAN NA KUJITANGAZA NINYI ILI MPITISHE MADILI YENU KIRAHC ?
 
Beberu anaiita kuwa kanuni ya dole gumba:

1. Kuwa mchokoza mada, uwe na kumbukumbu.
2. Kuwa mwongo, jifunze kwanza kukumbuka.
3. Kuwa mwizi, jifunze kwanza mbio

Wewe bwashee kumbukumbu baadaye?

Hiiiiii bagosha 😂😂!
Hahahaaaa....... Nilichojifunza TAL ni bora x 1000 kuliko Zitto Kabwe!
 
Tuamini sasa utakuwa umepata maono mapya?

IMG_20211121_091817_559.jpg

Kwamba hutajichanganya tena 😁😁?
 
JPM alikuwa ni Rais bora ambaye kuna sehemu muhimu nchi ilimhitaji sana kuliko mapungufu yake ambayo yalisabishw na lack of controll maeneo fulani....

Binafsi nimefanya research juu ya mapenzi ya watu kwa huyu bwana, ukweli uliowazi JPM anaishi kwenye mioyo ya watu wengi saaana..

Ni leo tu usiku huu nimepita moja ya barabara maeneo fulani ambayo naamini ni feeder load, nikasema mbele za watu serikali inapaswa kujenga hii barabara, majibu ya raia ni "dah si kwa serikali hii angekuwepo jembe JPM angetia lami zote hizi"....hiyo ndio response ya raia

Hata serikali hii ikitaka iwe inaaminiwa basi iachane kabisa na kumsema sema yule jamaa aisee, upende na trust ya watu kwa JPM ilikuwa kubwa sana.....

Hao wananchi wengi unaowasikia wakisema kuwa Magufuli alikuwa jembe, na hao hao bendera fuata upepo. Ukizungumza nao kwa kina na kuwapa facts unakuta wanasumbuliwa na uelewa mdogo wa mambo, na wengi walitekwa na vyombo vya habari vilivyogeuzwa kumpigia debe Magufuli. Kama huamini usiende na mahaba yako ya Magufuli, bali ujadili nao ubora na weakness zake ndio utajua wana uelewa mdogo wa mambo. Wananchi wa aina hiyo ukiwapa facts utaona wanabadilika ghafla maana wengi wao ni bendera fuata upepo.
 
kila kitu kinakwenda kwa mipango, kasi yake ndio ilifanya watu waamini angeweza kuijenga nayo kama angekuwa hai vs hawa wengine...

Haikuwahi pia kutokea siku za karibuni Rais kufa na watu kuwa na majonzi kama ilivyokuwa kwa JPM, haikuwa kutokea Rais kufa na kuzikwa lakini akaishi kwenye mioyo ya watu...sizungumzii ushabiki hii ni hali halisi...

Tuache ushabiki, pita mitaani aanza kufanya research mwenyewe uone majibu yake...

Haya tunaita ni mahaba niue. Kwa bahati mbaya taswira iliyojengwa baada ya Magufuli kufariki, ni ya hao wenye majonzi tu, ila wale walioshangilia hawakutakiwa kabisa kupewa nafasi. Hata haya maoni unayolazimisha hapa ni hayo yaliyo kwenye matamanio yako. Huko mtaani hata sisi tuko na ukweli ni tofauti kabisa. Ni kweli kuna waliompenda, lakini idadi yao haina tofauti na walimomchukia pia.
 
wapo wengi waliomkosoa, ZZK alimkosoa sana, Membe alimkosoa sana, Hashim Rungwe spunda alimkosoa nk... TL hakuwa na point yeyote kwenye ukosoaji wake kumfananisha na ZZK ambaye alikuwa akichambua mambo mbalimbali kitaalam hasa uchumi, demokrasia nk.... TL mara nyingi alikuwa akifanya character assasination...

Kwa Bahati Mbaya Magufuli na Tundu Lisu walifikia ushindani wa kila mmoja kudeal na mwenzake binafsi, ndio kilichopelekea Lisu kupigwa risasi, kwani Lisu hana vyombo vya dola. Lakini Lisu ni mtu aliyeweza kumkosoa wazi wazi Magufuli, na kwa bahati mbaya Magufuli hakuwa kiongozi bora, hivyo hakuwa na kifua kipana cha kukabiliana na ukosoaji wa aina ya Lisu. Nakumbuka wakati wa kampeni Lisu alikuwa anamshambulia Magufuli wazi wazi kisera na hata kibinafsi, hali ile ilimuacha Magufuli na msongo wa mawazo, hii ilipelekea Magufuli kuugua, na hakuwahi kurudi tena kwenye siasa za masifa hadi alipoelekea kuzimu maana aliumizwa saba na ule ukweli aliopewa na Lisu.

Mashambulizi yale ya kwenye kampeni dhidi ya Magufuli binafsi, serekali yake, aina yake ya utawala, na chama chake, yalimuacha Magufuli akiwa hoi. Hii ilipelekea Magufuli kwa kiburi cha madaraka kuagiza ipikwe idadi ya wapiga kura na kura. Na ushenzi, uhuni na ukatili wote kwenye ule uchaguzi mkuu ni maagizo ya Magufuli kama sehemu ya kumkomoa Lisu. Lakini ukweli ulibaki kuwa Lisu ndio mwanasiasa pekee aliyeweza kumkosoa Magufuli aliyekuwa mlevi wa kiburi cha madaraka bila hofu.
 
Unapoteza muda kujaribu kumpaka manukato, Magu alitamka waziwazi kuwa yeye huwa akosolewi wala kushauriwa na NYIE mkamshangilia sana.
OIP.7Sd0_kmRFdnYN7m5QJfMnQHaFQ
 
Kwa Bahati Mbaya Magufuli na Tundu Lisu walifikia ushindani wa kila mmoja kudeal na mwenzake binafsi, ndio kilichopelekea Lisu kupigwa risasi, kwani Lisu hana vyombo vya dola. Lakini Lisu ni mtu aliyeweza kumkosoa wazi wazi Magufuli, na kwa bahati mbaya Magufuli hakuwa kiongozi bora, hivyo hakuwa na kifua kipana cha kukabiliana na ukosoaji wa aina ya Lisu. Nakumbuka wakati wa kampeni Lisu alikuwa anamshambulia Magufuli wazi wazi kisera na hata kibinafsi, hali ile ilimuacha Magufuli na msongo wa mawazo, hii ilipelekea Magufuli kuugua, na hakuwahi kurudi tena kwenye siasa za masifa hadi alipoelekea kuzimu maana aliumizwa saba na ule ukweli aliopewa na Lisu.

Mashambulizi yale ya kwenye kampeni dhidi ya Magufuli binafsi, serekali yake, aina yake ya utawala, na chama chake, yalimuacha Magufuli akiwa hoi. Hii ilipelekea Magufuli kwa kiburi cha madaraka kuagiza ipikwe idadi ya wapiga kura na kura. Na ushenzi, uhuni na ukatili wote kwenye ule uchaguzi mkuu ni maagizo ya Magufuli kama sehemu ya kumkomoa Lisu. Lakini ukweli ulibaki kuwa Lisu ndio mwanasiasa pekee aliyeweza kumkosoa Magufuli aliyekuwa mlevi wa kiburi cha madaraka bila hofu.
Amen
 
Kiukweli nichukue fursa hii kukiri kuwa Tundu Antipas Lisu ni mwanasiasa mpambanaji wa viwango vya dunia.

Alithubutu kwa ujasiri mkubwa kumshauri na kumkosoa Rais Magufuli wakati wa uhai wake bila uwoga.

Hii ni tofauti na wanasiasa wengine wote wa upinzani ambao walimuogopa sana Magufuli akiwemo Zitto Kabwe ambaye aliogopa kutoka bungeni wakati wabunge wote wa upinzani walipotoka kuwaunga mkono CUF walioonyesha hasira zao kwa maalimu Seif kuporwa ushindi ( tuhuma).

Baada ya Magufuli kutwaliwa ndio Zitto kaanza kumsimanga.

Mwingine ni Nape Nnauye mtoto wa mwanajeshi lakini aliingia Ikulu huku analia na leso ya kujifutia puani mkononi akamshika miguu Rais Magufuli amsamehe kwa kosa la kumsengenya kwenye simu.

Maendeleo hayana vyama!
Lisu hakujua implications za kufanya vile, laiti kama angejua kabla asingethubutu,, ndo maana aliporudi mara ya pili kufanya kampeni,, alilainisha kidogo lugha, na hata hivyo baada ya uchaguzi ilibidi akimbie faster maana alijua muda wowote kinawaka,,
Watu wengine wana Ego kubwa, hawawezi vumilia kusema vibaya, lazima wakupe displine tu
 
wapo wengi waliomkosoa, ZZK alimkosoa sana, Membe alimkosoa sana, Hashim Rungwe spunda alimkosoa nk... TL hakuwa na point yeyote kwenye ukosoaji wake kumfananisha na ZZK ambaye alikuwa akichambua mambo mbalimbali kitaalam hasa uchumi, demokrasia nk.... TL mara nyingi alikuwa akifanya character assasination...
Zito alimkosoa sana JPM lakini si kwa kumshusha hadhi,, zito alikosoa kistaarabu lazima unapodeal na mtu mwenye Ego kubwa ujue namna ya kutumia lugha dhidi yake,
Zito alijua kukosoa kwa diplomatic language
 
Back
Top Bottom