Siites ndani ya ncaa - ushauri kwa ngorongoro

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wametangaza kutoa site tano kwa ajili ya kujenga lodge na tented camps.
Tunaomba mchakato uwe fair na local investors to be given preferential consideration as suggested.

Najuwa kitu ambacho kitakuwa obstacle kwa wazawa ni fedha ambayo kwangu mimi sioni kama ni factor kubwa kwani you can always source funds when you get the site.

Naomba bodi itumie busara kwenye kufanya maamuzi ili big fish wasi ununue huu mchakato.

Nawakilisha
 
Wewe Blue Balaa wala usihangaike kuomba hutapata mana lile zee la KIKEREWE pale lina ROHO MBAYA SANA lazima liwape mafisadi wenzake hizo sites.

Lile zee ni baya saaaaaaaaaaaaaaaana hata waziri mwenyewe analiogopa. Sitaki kumsahihisha Mungu ila majitu kama haya ndiyo yanatakiwa YAFE yanakwamisha sana maendeleo
 
Nadhani unamuongelea Ben Murunya!...huh!...(Plz NE, spit down)
Nadhan nimeona jina lake ni moja kati ya waliteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Afrika Mashariki!...namtakia kila la heri.

Hizi ni katika deals kubwa kabisa ambako vigogo wa NCAA wanategemea kupata chao mapema, kutoka kwa bidders!
Otherwise Ncaa alitakiwa wasaidie ili eneo lile lionekane kuwa run na Locals kwa asilimia zote!
 
PJ sina maana ya Murunya that is another culprit i have no problem with, mimi nina maana na hili zee Msekwa ndio kikwazo pale NCAA. Ben Murunya anataka ubunge NCAA. Kuingia anaweza shida ni kwamba uwezo wale ni mdogo sana
 
Back
Top Bottom