Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

Dear dada Sonnet,
Je, upo tayari kuja kuishi Tibirinzi, Chake Chake , Pemba?
Hali ya hewa ni safi kabisa na matunda kwa wingi.
Please, pm me for a serious discussion of our future together.
 
Wanawake mkishapiga kitabu kidogo, kazi nzuri, kiusafiri na kigeto huwa hamuoni wanaume level zenu, mnajisikia kupita shetani, Mungu nae sio mjinga akupe vyote wengine watapata nini?

Cha muhimu ni wewe ujiamini hata kama unahisi mwanamke wako amekuzidi maeneo fulani.
 
kama unaona ulienae anachelewesha si ukubali proposal za wengine... I'm sure sio yeye pekeake aliewai kukutokea na kama wote wanaexcuse basi zidisha maombi na tafuta hata mtoto wa adoption for the mean while akupe kampan

If you're not a couple, you can't adopt officially.
 
Wenzio wa umri huo sasa hivi wanalea vijukuu,wewe ndo kwanza bado unakuja kusumbua watu huku eti unataka mchumba!!nani anataka makombo sasa?
 
Sonnet, na masters yote ila common sense inakushinda?!

Elimu bado haijakukomboa, nna shaka. Huyo kashakuacha zamani. We ndo unajiweka hapo.

Toka wala usiage. Wanaume wapo kibao. Ishu ni we mwenyewe uwe matirio ya ndoa. Jikague tena.

Aya yako ya kwanza tu umeenda kinarcissist zaidi. Huenda unajithaminisha kwa hiyo elimu, kipato, mali na umbile/urembo. Je uzuri wako (yasiyoonekana) upoje? Mahusiano yako na Mungu na jamii je?
 
Last edited by a moderator:
una degree2, watoto wa2, kwa waume wa2.

iyo nimekupa kama angalizo kuwa makini icje ikatokea kwako. uckubali kuzaa tu bila ndoa, jikabidhi kwa Mungu, Na Unaweza Kwenda Kwa Mch.Wako Ukamweleza Nae Atakusaidia. Uctafuta Mume Kwa Kuangalia Vigezo Vya Elimu Ya Kawaida, Bali Mwenye Hofu Ya Mungu.
Kwa Ushauri Zaidi Nipm Au Piga Cm 0786100772, 0757856336

Kwa uzoefu wangu wa makanisa ya leo mchungaji atamlamba kwanza ndipo maombi yaanze siwapendi wachungaji kama kifo ajisimamie mwenyewe na Mungu atampigania
 
Labda unataka mbwembwe za matarumbeta ndo maana jamaa anakupiga kalenda?Mwambie akamilishe taratibu kwenu then mkae wote
 
Mkumbuke mwanamke anaitwa ''SARAH''

Mrudie Mungu wako, fanya toba kisha mweleze haja zako. Yeye ni mwema kwetu, kama ukimtumainia kamwe hatakuacha uaibike....!
 
una degree2, watoto wa2, kwa waume wa2.

iyo nimekupa kama angalizo kuwa makini icje ikatokea kwako. uckubali kuzaa tu bila ndoa, jikabidhi kwa Mungu, Na Unaweza Kwenda Kwa Mch.Wako Ukamweleza Nae Atakusaidia. Uctafuta Mume Kwa Kuangalia Vigezo Vya Elimu Ya Kawaida, Bali Mwenye Hofu Ya Mungu.
Kwa Ushauri Zaidi Nipm Au Piga Cm 0786100772, 0757856336

Hivi ulipataga yule mchumba uliyekuwa unatafuta hapa jukwaani? bahati haiji mara mbili mtumishi.
 
Mleta uzi...furaha yako ipo mikononi mwako. Fanya tathmini ukiona inafaa tafuta ustaarabu mwingine (tathmini ya kina ni muhimu usije jikuta umeacha mbachao kwa msala upitao) maana unaweza jifunga kwa ntu asiyena mpango na wewe

Hakafu 30 mbona bado?
Hivi probability ya 'MENOPOZI' inaanzia miaka mingapi..??
 
Mleta uzi...furaha yako ipo mikononi mwako. Fanya tathmini ukiona inafaa tafuta ustaarabu mwingine (tathmini ya kina ni muhimu usije jikuta umeacha mbachao kwa msala upitao) maana unaweza jifunga kwa ntu asiyena mpango na wewe

Hakafu 30 mbona bado?

Mbona unamwingiza chaka mwenzio?

Kwa umri huo wenzake wanamalizia biashara ya kutotoa na kuanza kupiga misele....

Ushauri wangu: Abane mtu hadi ama ajitoe au atie timu. Umri wao wote siyo tena wa kucheza kombolela. Akichelewa miaka 2-3 tu, watakaomwongelesha hawatakuwa waoaji tena bali watumiaji wa voda fasta!
 
una degree2, watoto wa2, kwa waume wa2.

iyo nimekupa kama angalizo kuwa makini icje ikatokea kwako. uckubali kuzaa tu bila ndoa, jikabidhi kwa Mungu, Na Unaweza Kwenda Kwa Mch.Wako Ukamweleza Nae Atakusaidia. Uctafuta Mume Kwa Kuangalia Vigezo Vya Elimu Ya Kawaida, Bali Mwenye Hofu Ya Mungu.
Kwa Ushauri Zaidi Nipm Au Piga Cm 0786100772, 0757856336

Illovo
unaingia na gia Kali kweli!
 
Last edited by a moderator:
Jamani eeeh, huyu dada maelezo yake yanaonesha kuna mambo anatuficha. Amesema amekuwa kwenye distance love kwa miaka kadhaa sasa, je kabla ya hiyo distance love alikuwa single kabisa?

Mimi ninavyohisi huyu dada alikuwa ni cheche sana, na hata hayo mavitu aliyochuma inawezekana alitumia fursa ya kijinsia kuvipata, sasa amegundua amepungukiwa na kimoja tu! Mwanaume, kwahiyo anataka kumchuma mwanaume wakati wanaume wanamjua nje ndani kwa sababu mwanaume atakayemuoa hatoki mbali.

Nawaza tu.
 
Back
Top Bottom