Sifa za watu hawa hapa

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Wapare
wanaume:
1. wanapenda nguo za dukani
2. wanapenda kuulamba
3. wanapenda kajiheshima kwa watu
4. wanapenda sifa
5. wanapenda sana ngono na hasa kudanganya visichana
6. wanapenda kuongea kiingereza
7. wakarimu
8. vinapenda sana bia

wanawake
1. wanapenda sana kuolewa
2. wanagawa sana uroda kirahisi
3. wavumilivu
4. wakarimu hata kama ni wa kinafiki

wachaga
wanaume
1. wnapenda kuchanganya kiswahili na kichaga wanapoongea
2. wanadharau sana wanawake
3. wanapenda kujishughurisha
4. wanapenda pesa za haraka haraka
5. wanapenda sana maduka/biashara
6. wanapenda sana magari ya baishara
7. wanapenda sana watoto
8. wanapenda sana ardhi
9. wanapenda nguo za dukani
10. yanapenda sana bia
11. wanapenda sana nyumba

wanawake
1. wanapenda sana kuolewa (kama hajaolewa hajisikii)
2. wanapenda sana watoto wa kiume
3. wanapenda sana kufuga kuku
4. wanapenda sana vijibiashara
5. wanapenda sana kufanya mapenzi
6. wanapenda sana wanaume wenye kipato/waliosoma
7. wanapenda sana bia
8. wanapenda sana nyumba

wanyakyusa
wanaume
1. wanapenda sana heshima
2. ni wakarimu sana
3. wacha mungu sana
4. wanapenda sana kuongea kilugha wakikutana
5. wanapenda sana kazi za ofisini

wanawake
1. wacha mungu
2. wanapenda sana baishara za kusafirisha/safiri
3. wakarimu kiasi
4. wanapenda sana kazi za nyumbani
5. wanapenda kuongea kilugha

wasukuma
wanaume
1. wanapenda sana sifa/kujisifu
2. wanapenda sana wanawake hasa weupe
3. ni wepesi wa kushikika kwa wanawake yahani wakipenda huwa hawana ujanja kivileee
4. wachapa kazi
5. wanapenda sana kazi za migodini na mashambani na ufugaji
6. wanapenda uvuvi
7. wanapenda sana baiskeli
8. wanapenda biashara kiasi
9. ni wakarimu sana

wanawake
1. ni wakarimu
2. wanapenda ngono
3. wanapenda kazi za ofisini

endelezea......

Sifa za wachaga zisingekuwa nyingi zaidi ningeandamana,wanawanyima sana usingizi sijui kwanini. Waacheni jamani!!!
 
Wasukuma hiyo no.7 imenifanya nicheke sana kwani unapoanza maisha yakianza kukubali chakwanza baiskeli tena zile kubwa {shag shag} sijui nimepatia jinahili la kichina
 
Wachaga wanawake na 5,6, umeniacha hoi na wenyewe wamo hahah hatari hiyooo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaan wanyakyusa ni kweli kabisa wakarimu wapole wanamheshimu mke wanapenda aman yaan wana sifa zote jaman kwa wanaume

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nemesahau wanaume wanyak,wanajua kupenda sana kama ww upendwi ujue ulitumia mzizi sasa umegoma shwain ila wanajua mambo saaaaaanaaaa we hapo umenigusa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nashangaa wahaya hawapo wakat niwatoaji huduma kwa jamii

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wa Iraqw (wambulu)

WANAUME:
1.Wanapenda sana fimbo
2.Wanapenda sana sonyo(tumbaku)
3.Wanapenda sana ngono za vichakani (Hakuna kabila lisilo na bidii kwenye ngono Tz)
4.Wanapenda sana Mangure (pombe ya kienyeji ya mtama)
5.Wanapenda sana kutembea kwa miguu (Mf. Dar - Moro tunaswaga tuu tena kikawaida kabisa)
6.Wanapenda sana kuongea kilugha wakikutana (Hata wakutane Ulaya)
7.Wanapenda sana kujifunika migorori (hata liwake jua la laana )
8.Wanapenda sana kuoga mtoni
9.Wanapenda sana kusifiwa (hata mtoto mdogo akijikwaa akango'a ukucha wa mguuni uliita dume halilii, LINANYAMAZA!)

WANAWAKE:
1.Wanapenda sana ngono!! (Dada zangu hawa jamani!! wamesahau chupii... Karatu)
2.Wanapenda sana umbea
3.Wanaringa yaani wana NYODO SANAA!! (Akiolewa mjini na mwanaume mwenye feza)
4.Wanapenda sana kuhamishia kijiji chake nyumbani kwa mumewe ambae sio kabila lake (siwasumangi, ni ndugu zangu nawapa ukweli)

WANYIRAMBA:
WANAUME/WANAWAKE :
Wanapenda sana kunya nyuma ya nyumba hata kama choo kipo karibu, unaweza kukuta baba, mama na watoto wamepanga mstari nyuma ya nyumba wanakunya na cha kushangaza unaweza kukuta mtu anajisaidia nyuma ya choo! (unaebisha nenda Iramba!!)
 
mkuu unavunja mbavu zangu kwa hao wanyiramba nikiwaona jiran zangu wanyramba nacheka tu
 
Wa Iraqw (wambulu)

WANAWAKE:
1.Wanapenda sana ngono!! (Dada zangu hawa jamani!! wamesahau chupii... Karatu)
2.Wanapenda sana umbea
3.Wanaringa yaani wana NYODO SANAA!! (Akiolewa mjini na mwanaume mwenye feza)
4.Wanapenda sana kuhamishia kijiji chake nyumbani kwa mumewe ambae sio kabila lake (siwasumangi, ni ndugu zangu nawapa ukweli)

Hapo kwa Wairaqw namba moja sijakusoma vizuri. Mbona huku Dar ni miongoni mwa wanawake wanaoringa sana. Dawa yao ni nini ukitaka kumpata kwa haraka? Maana mi mademu wa Kimbulu wote (kama watatu hivi) niliofukuzia hapa Dar imebidi niishie njiani tu kwa mapozi yao. Unafukuzia demu mwaka mzima unakuta bado hapokei simu au anakublock. Kuna mmoja ndo kidogo akanipa ushirikiano lakini analeta swaga za niende kwa wazazi wake kwanza nikatoea mahari. Asa demu hata chupi hatujavuana eti nikatoe mahari kwanza wakati bikra ashaniambia hana.
 
Back
Top Bottom