ni wakarimu sana ndani na nje,uumbaji wa Mola haukuwatupa mkono.
si wachoyo wa utamu hata kama ni mke wa mtuWana JF naombeni sifa za wanawake wa KIRANGI kutoka WILAYA ya KONDOA na CHEMBA MKOA WA DODOMA. Tafadhali!......
Wana JF naombeni sifa za wanawake wa KIRANGI kutoka WILAYA ya KONDOA na CHEMBA MKOA WA DODOMA.
Tafadhali!......
si wachoyo wa utamu hata kama ni mke wa mtu
Endekeza umburula wa ukabila usubiri kuoa kaburini!
Nimeliona hii comment yako wakati nishaweka comment yangu, kama ulikuwepo yani wanawake wale ni chupi mkononi! hupenda sana bia za bure kutoka kwa wanaume
Kumbe warangi wote walevi.
walio wengi, kama huamini nenda kondoa mjini
Wahehe wote wanywa ulanzi.
Wachaga wote wanywa mbege.
Kwa mawazo ya kukari hatuwezi fika mbali,