happiemrope
Member
- Aug 12, 2016
- 18
- 10
Hapana jaman ukweli upo kwa asilimia chache sio wote..lile ni vazi tu inategemea MTU analichukuliaje...ila namba 12 ni kweli kabisaaNimejaribu kufanya research ndogo ya mademu wanaopenda kuvaa madera. Matokeo niliyoyapata:
1. Wanapenda taarabu na vigodoro, kwenye rusharoho huko balaa
2. Waongo, wambeya na washinda vibarazani
3. Wengi hawajaolewa
4. Ni kero kwa wanaume yaani ukikutana nae tu anaomba umnunulie chipsi
5. Ni mabingwa wa kuvuruga ndoa za watu na wanapenda kutembea na waume za watu
6. Wana matusi na hawaangalii wakati wala eneo alilopo. Matusi anayoporomosha hata kwa mtoto wake utafikiri alibakwa
7. .... ongezea
Barafuyamoto
8. Asilimia kubwa wanajichubua, unakuta knuckles nyeusii tiii ila sura "nyeupe".
9. Wengi ni wazaramo, wenyeji wa Tanga, in short wa mwambao etc!
10. Waswahili, ustaarab zero!
11. Wengi ni failure wa shule TENA la saba au ni drop out wa sekondari.
12. Kitandani wengi wako poa.
13. Akipokea simu kwenye Dala dala halafu awe amesimama abiria mtakoma kila mtu atajua anacho ongea, akianza kucheka...