Sifa za wanawake/wadada wanene

1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

Yani hu hapa ni ukweli mutupu
 
alafu ni watamu just imagine upewe choice u spend a night kati ya jokate au masogange..... obvious utachagua masogange!!!
 
100+20% Umesema kweli wanawake wembamba ni wazuri kwa kutumia tu lkn kwenye issue za kuoa oa mnene!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wanawake wembamba kwa wivu we acha tu wakati ni wagawaji wazuri tu nje!!! Mnisamehe bure wanawake wembamba napita tu mimi mwenyewe mgeni!!!!!!!!!!!
ni kweli, wanawake wembamba wana wivu xana
 
1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......

Asanteee!!!!!
 
Wanawake wanene wengi huwa wameridhika dats y kukaa na kitu mda mrefu hawezi tofauti kbs na wembamba hutunza vitu vingi sn mioyoni mwao hata kama kdg ninauhakika na ilo asilimia80%

Wanawake wanene hawatongozwi sana hivyo akipata mmoja anamganda kama ruba..afu wanapenda sana kugegedwa ovyo wana nyege sana..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
alafu ni watamu just imagine upewe choice u spend a night kati ya jokate au masogange..... obvious utachagua masogange!!!

masogange sio mnene
ana shape inayoeleweka
hao wanene mnaowaongelea sio km masogange
 
vip health-wise, je hawasumbui, presha ya kushuka na kupanda, uvivu, uchafu, obesity, kisukari???
je wanapendeza wavaapo mavazi au ni wa kuchagua sana viwalo au hawana shepu?
 
Mwanamke mnene mimi kwangu ni shida nikijitahidi napigaga moja tuu. Huwa nawakinai sana hata kurudia inakuaga ngumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom