Sidhani! Magazeti Yasemavyo 26/ Oktoba/2015

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Tarehe 26-10-2015
Vichwa vya habari vya magazeti ya bongo vitakuwa hivi;-

Nipashe

Matokeo ya awali LOWASA AMBURUZA MAGUFULI
.Aongoza 70%
.achukua majimbo zaidi ya 170
.bunda, chalinze, kibamba, siha yote Chadema.

Mwananchi

LOWASA ANG'ARA
.aisambaratisha ccm
.ukawa watinga ikulu mchanavkweupee
.wagombea wa ccm wakimbia matokeo
.magufuli aenda mapumziko nje ya nchi.

Tanzania Daima

UKAWA WALEEEEE
.wachukua nchi saa mbili asubuhi
.kikwete asema aliyajua
.nape aanguka jimboni kwake akimbilia nje ya nchi.

Raia Mwema

KAMATI YA KINANA WAIUA CCM
.waupa ukawa ushindi
.lowasa 70%
.tuma yapewa vitisho.

Uhuru

UKAWA WACHEZA RAFU
.ccm haitingishiki-kikwete.
.waandishi WA habari waandika uongo
.time yahongwa na lowasa

RADIO ZOTE ZITASOMA MAGAZETI
ISIPOKUWA TBC.
 
Viroba vya leo kiboko.
 
Lipumba aomba Msamaha Serikali ya UKAWA..

Dr. Slaa akili kutopiga Kura
 
Kuna Mboda boda mmoja kasema Lowassa asipokuwa Rais basi aliwe Kiboga basi vijana wote wamehamia kwa Magufuli ili wapate Fursa ya kutafuna kitafunwa Baada ya October
 
Kuna Mboda boda mmoja kasema Lowassa asipokuwa Rais basi aliwe Kiboga basi vijana wote wamehamia kwa Magufuli ili wapate Fursa ya kutafuna kitafunwa Baada ya October
hahahahahahahaha! u made my night ! looh
 
Nadhani huyo bodaboda atanunua maboga ili watu waje wale kwake ha ha ha
 
Mwiguhuru akamatwa na baibui akivuka mpaka.

Makonda aomba kuacha kazi ndani yamasaa 24,
 
Tension in TZ as presidential hopeful refuses to concede defeat.Meanwhile UKAWA leadership is meeting to chart way forward and pleaded to UKAWA supporters to exercise restrain amid escalating tension.
 
Tarehe 26-10-2015
Vichwa vya habari vya magazeti ya bongo vitakuwa hivi;-

Nipashe

Matokeo ya awali LOWASA AMBURUZA MAGUFULI
.Aongoza 70%
.achukua majimbo zaidi ya 170
.bunda, chalinze, kibamba, siha yote Chadema.

Mwananchi

LOWASA ANG'ARA
.aisambaratisha ccm
.ukawa watinga ikulu mchanavkweupee
.wagombea wa ccm wakimbia matokeo
.magufuli aenda mapumziko nje ya nchi.

Tanzania Daima

UKAWA WALEEEEE
.wachukua nchi saa mbili asubuhi
.kikwete asema aliyajua
.nape aanguka jimboni kwake akimbilia nje ya nchi.

Raia Mwema

KAMATI YA KINANA WAIUA CCM
.waupa ukawa ushindi
.lowasa 70%
.tuma yapewa vitisho.

Uhuru

UKAWA WACHEZA RAFU
.ccm haitingishiki-kikwete.
.waandishi WA habari waandika uongo
.time yahongwa na lowasa

RADIO ZOTE ZITASOMA MAGAZETI
ISIPOKUWA TBC.

Hahahahahahaha hizo ni ndoto za Alinacha kijana. Hakuna kitu kama hicho ila ukigeuza sehemu uliyoandika Lowassa andika Magufuli na Magufuli andika Lowassa na sehemu uliyoandika CCM badilisha andika UKAWA na sehemu ya UKAWA andika CCM. Hiyo ndiyo itawezekana
 
Back
Top Bottom