MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
wengi tumeshuhudia utiwaji saini kati ya viongo wa NDC chini ya mwenyekiti wake Christant Mzindakaya na Mwenyekiti wa Sichuan Hongda Co., Ltd Liu Canglong. Na hafla yenyewe ilifanyika pale Milimani City mgeni rasmi akiwa Makamu wa Raisi Dkt Gharibu Bilal,
Nilipotaka kupata taarifa zaidi juu ya kampuni hii huko chini inaonekana haina hata website ila kwa kupekua nimepata baadhi ya taarifa ambazo naona kuwa zina utata kidogo... na nilichofanya nichukue hatua hiyo ni kwamba kwenye utiaji saini kwa mradi mkubwa kama huo hakukuwepo na hata mwambata wa ubalozi wa china hapa nchi au kutokea china..
Ukipitia hiyo site hapo chini utaona huyu mchina aliyekuja kutia saini mkataba huu hayuko hata kwenye bodi ya wakurugenzi wa kampuni hii huku yeye akija kama mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya Sichuan Hongda Co., Ltd. (Liu Canglong)
Sasa naomba embu kila mtu apitie na upate ukweli wa kampuni hii
Sichuan Hongda Co Ltd (600331.SS) People | Reuters.com