Siasa Za Mpira Zipo Tangu Zama Za Kina Juma Kaseja, Dickson Job Piga Kazi Achana Na Matapeli

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,363
9,237
"Kuna Maisha baada ya uchaguzi"

Hii ilikua kauli ya Mzee jakaya kikwete akiwaasa watanzania wasichanganyikiwe na mambo ya uchaguzi wakasahau kua kuna Maisha mengine ambayo ndio halisi baada ya hicho kipindi kidogo chenye hulka na mambo mengi ya ajabu..

Jana ilitoka list ya wachezaji walioitwa timu ya Taifa kwenye mchezo wa kirafiki, list hiyo ilitoka na hoja kubwa ya kukosekana beki wa Kati anayekipiga kwenye club ya wananchi Dar Young Africans. Hii ilishangaza sana wadau wa mpira kutokana na kiwango chake cha juu Sana iweje asiitwe timu ya Taifa?

Kumbuka Job ni moja Kati ya wachezaji wachache Tanzania waliopita kwenye MFUMO mzuri maana kacheza ngazi zote za timu ya Taifa kuanzia under 17,19,20 hadi senior timu iweje leo atemwe?

Hii inshu ilianza zamani Kule AFCON alikua hapangwi makusudi tu wakasingizia "hayuko fiti/ana majeraha" lakini baada ya Jana kumuacha na maswali kua mengi "chawa" wamekuja na majibu mepesi kua "Hana uzalendo" eti alikataa kucheza beki 2.. hahahhaha wakati wao wenyewe ndio waliosema kipindi kile alikua na majeruhi... Anyway ili Mbwa apigwe lazima Kwanza apewe jina Baya... Utasikia anakula mayai..

Haya mambo hayajanza Leo tangu enzi za kina Kaseja walikua wanaachwa bila sababu za msingi ukiuliza utaambiwa anavuta bangi... Tuliona Kapombe na Mohamed Hussein zimbwe jr waliachwa bila sababu baada ya kelele kua nyingi Zimbwe akarudishwa Ila pia inshu ya Kapombe ilianzia mbali Sana kuna kipindi walimbagua kwenye zawadi Hadi pale Samata aliposema atagawana nae zawadi yake ndipo wanaona aibu wakampa haki yake...

Ni juzi Tu walimuaacha Kelvin John bila sababu baada ya maswali mengi wakasema Hana nidhamu

Anyway za ndaaaaaaaani kabisa kuna kikundi cha "kitapeli" ambacho hupenda mambo ya TEN PERCENT hawa ndo watakufanya watakacho pale utakapokataa kutoa KITU KIDOGO ili upangwe...

JOB piga kazi kumbuka wewe ndio umebeba tuzo ya Beki Bora NBC PREMIER League 2023 so watabana kusini utapita kaskazini.... Kama alivosema jakaya kuna Maisha nje ya timu ya Taifa, wewe utakua Legend kwenye klabu Bora ya Yanga pambana..

Fid Q aliwahi kusema "kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni Bora" ipo siku atakuja kocha mwenye akili timamu atakuita na utacheza soka...
 
Hata sioni sababu ya Mtu kubabaikia timu inayoishia hatua za awali. Sijawahi kusikia mchezaji anafungiwa eti kakataa kucheza namba Fulani.
 
Uzu mzuri sana, naunga mkono hoja, Tff wakiendelea kumsikiliza jemedari saidi, mpira wa bongo utakufa
 
Kabisa...
Lakini kuna faida ya kua kwenye timu ya Taifa inakupandishia CV kwenda club kubwa zaidi ... Mfano Leo hii Raja Casablanca wanamtaka Job halafu hachezi timu ya Taifa inapunguza credit...
Lakini kibaya zaidi ni pale TFF wanapotafuta uhalali wa ujinga wao Kwa kumsingizia mchezaji ili aonekane mbaya watu wasilaumu kuitwa kwake utasikia Hana uzalendo au ana utovu wa nidhamu bila kufananua huo utovu wenyewe...
 
Uzu mzuri sana, naunga mkono hoja, Tff wakiendelea kumsikiliza jemedari saidi, mpira wa bongo utakufa
Wajinga tu hao TFF ye mwenyewe Jemedari alijifanya kiwakosoa wakamualika akatulia kama mwanamke asiye na kwao.. sahivi humsikii aliwahoji kitu...
Rejea ule msala wa wale madogo kunyimwa posho aliving'aka lakini baada ya "kupozwa" kawa mbwa wa boss
 
Rushwa ipo sana pale kwenye team ya taifa, Taarifa za ndani kabisa zinasema Makamu na katibu wake hapo TFF ndo ma kontawa wa michezo ya rushwa kwenye federation, TAKUKURU wapo nao bega kwa bega safari hii, wajiangalie sana.
 
Jemedari said aliwah kuutaka uongozi ndani ya Yanga sc, lakini wanachama tukasema timu yetu haiwezi kuwa na kiongozi Mmakonde hata siku moja, tangia siku hiyo aligeuka kuwa adui wa Yanga
 
Naam naona umeamua kumwaga mtama kwenye kuku wengi...
 
Sidhani kama kua mmakonde n tatizo ila tatizo ni yeye mwenyewe Jemedari kichwani mwake kuna "nati" hazisomi
 
Uto malalamiko kama kawada. KennedyJuma ni mzuri kuliko mbutuaji Job, ndiyo maana kaachwa.
 
Back
Top Bottom