Siasa tanzania

Mosee van Hotspur

New Member
May 8, 2012
3
0
Ndugu watanzania me nahisi tumefikia mahali kila mtu imani imemtoka, yan kila mtu anaamin mtu kua madarakani ni kwenda kuiba au kujitajirisha, hii dhana kwa watanzania jamani ni potofu, japo dalili zimeonekana sana kwa baadhi walio madarakani hasa hadi kupelekea baraza la mawaziri kuvulugwa tena, ila point yangu hapa ni kwamba, kuna baadhi ya watanzania tena wengi wao wanathubutu hata kuwajudge vibaya wale walioteuliwa hivi karibuni na kusema eti wamepatashavu soon maisha yao yatakua mazuri, imeniuma sana maneno haya kusemwa kwa watu wengi hasa kwenye mitandapo ya jamii pale Rais wetu Dr.Jakaya alipomteua Mhe: Mbatia, wengi wao walisema eti kalamba shavu, jaman wanateuliwa kwanza kwenda tumikia Taifa na wananchi wake. fikra ya uwizi tusipende itanguliza sana jaman.

NI MTAZAMO TU MSIJENGE CHUKI
 
Back
Top Bottom