Siasa ni Sanaa ya Uigizaji hainaga Uhalisia Ndio sababu Shujaa Magufuli aliigiza kununua Muhindi mkutanoni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,010
Nasema Hili kwa sababu Watu wanaona Kiongozi kuigiza tamthilia, sinema nk ri kitu cha kushangaza, hiyo si kweli

Siasa ni Sanaa ya Maigizo

Hata yanayotokea bungeni mengi huwa ni maagizo yaani Watu wanatengenezewa script

Mfano Uwepo tu wa wabunge 19 wasio na Chama Kinyume cha takwa la Katiba ni Sinema tosha kabisa

Binafsi nimefurahi Dr Samia Kufanya movie za Kitalii zitakazolitangaza Taifa letu katika mfumo Rasmi

Tunahitaji Ubunifu ulio wazi kama Huu siyo Ule wa Janjajanja ya kukabidhiwa zawadi ya Jogoo

Hata vyama Vya Upinzani ni Waigizaji Watupu wanaorudi kustaafia CCM

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
 
Hehe ati raisi anatoka ikulu kisha ananunua dafu linakatwa anakunywa yale maji? Haha raisi ananunua hindi pale gairo analitafunaaa? Nani huyo amuuzie raisi kitu kiholela ale tu? Kukicha asubuhi magazeti yote yanapicha ya mkuu wa nchi akibugia hindu? Hehe mara kapewa jogoo huko kusini? Mtu mwenye msafara wenye mbio na mabunduki yote yale unampataje hata ukampa jogoo ?
Tafakari, chukua hatua
 
Wale huandaliwa mwezi mzima ghafla, eti wananchi wanazuia msafara.
 
Hehe ati raisi anatoka ikulu kisha ananunua dafu linakatwa anakunywa yale maji? Haha raisi ananunua hindi pale gairo analitafunaaa? Nani huyo amuuzie raisi kitu kiholela ale tu? Kukicha asubuhi magazeti yote yanapicha ya mkuu wa nchi akibugia hindu? Hehe mara kapewa jogoo huko kusini? Mtu mwenye msafara wenye mbio na mabunduki yote yale unampataje hata ukampa jogoo ?
Tafakari, chukua hatua
Au Tundu Lisu anafunga barabara ya Watalii Ngorongoro kisha Polisi wanambembeleza aifungue 😂😂😂
 
Nasema Hili kwa sababu Watu wanaona Kiongozi kuigiza tamthilia, sinema nk ri kitu cha kushangaza, hiyo si kweli

Siasa ni Sanaa ya Maigizo

Hata yanayotokea bungeni mengi huwa ni maagizo yaani Watu wanatengenezewa script

Mfano Uwepo tu wa wabunge 19 wasio na Chama Kinyume cha takwa la Katiba ni Sinema tosha kabisa

Binafsi nimefurahi Dr Samia Kufanya movie za Kitalii zitakazolitangaza Taifa letu katika mfumo Rasmi

Tunahitaji Ubunifu ulio wazi kama Huu siyo Ule wa Janjajanja ya kukabidhiwa zawadi ya Jogoo

Hata vyama Vya Upinzani ni Waigizaji Watupu wanaorudi kustaafia CCM

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
20231209_105134.jpg

Asante kwa taarifa
 
Na nyumbu waliamini ni mnyongwe mwenzao 😆😆

Sio tuu muhimdi yule Mzee alikuwa na mazingaombwe sio ya Nchi hii mara anunue kuku mara acheze bao mara anakunywa kahawa kijiweni ilimradi tuu kukamata mbumbumbu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom