Siasa ni akili, kama kichwa chako ni kitupu utaishia kuua wenzako tu

"Ndugu zangu watanzania na wazaliwa wenzangu wa kwanza kutoka Chato,mpaka naondoka huko Duniani niliacha nimetoa order kubwa sana ya risasi,sijui kama mtazimaliza bila kupambana vita ya uchumi na wasaliti kama Lissu & Lema"

Boda boda ni kazi maana wanaweza kuhonga wanawake weupe wa mjini
 
Inategemea hiyo hoja unaijenga wakati gani. Kama kwa siasa za kupeana vibuyu vya asali hapo hutogusa mtu. Ila siasa za kujenga nchi lazima ufyatue watu. Ndio utajenga nchi kikweli kweli.

Nchi ni Watu.
Unapofyatua Watu unajenga nchi gani?
 
Kikawaida nguvu zinaeleweka haraka kuliko Akili.
Ndio maana sio kila MTU anaijua hesabu Kwa sababu hesabu zinahitaji Akili.
Watu wanaotumia Akili hawaeleweki kirahisi kuliko wale wanaotumia nguvu
Ila ukitumia nguvu kila MTU atakuelewa Kwa muda mfupi
Weka lamination hii
 
Siasa ni mchezo wa sita kwa sita style ni nyingi na zote ni muhimu.
 
Back
Top Bottom