Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,111
- 18,527
Hizo ahadi kazitoa huko kwa waongo wenzake, siyo kanisani.Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.
Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.
Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.
2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.
3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.
4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.
Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.
Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Kwani wewe hujui wanasiasa ni waongo Hadi leo?