Siamini kama bwawa la "stigler gorge" litamaliza tatizo la mgao wa umeme nchini

Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini.

Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme umepungua kwasababu mvua zimepungua hivyo tujiandae kwa mgao.

Swali la kujiuliza ni hili..

Kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi na kutokana na ukweli kwamba bwawa la "stigler gorge" nalo linategemea mito/mvua je siku mvua zikipungua hatutakua na tatizo la mgao wa umeme?

NB: Hapa ninapoandika hii posti TANESCO wamekata umeme na simu ina 8% tu.
Mvua zipo tu !
Labda waanze kuyachepusha maji!
Mwamba alituambia walikuwa wanayafungulia maji ili kina cha maji yapungue huko mtera !
 
Tunajenga bwawa la kuhifadhi maji takribani ujazo zaidi ya billion.

Hakutakuwa na tishio la mabadiliko ya hali ya hewa kwa miaka 200

Pia unatakiwa ujue tangu dunia iwe na maji, hayajawahi kupungua
Kuna uwezekano climatic change ni hoax?
Gaia hypothesis inabidi niisome tena.
 
Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"

Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.

Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Akili huna, kwa hyo Ethiopia kujenga bwawa kubwa kabisa la kuzalisha umeme ni wajinga? Haya huyo kikwete wako alieanzisha mradi wa gesi huko mnazi bei na kutuambia tunanunua gesi kwa bei ya chini na gesi itafanya umeme usikatike yako wapi? Yani Kuna vimtu vinajifanya vigreat thinker rrrr kumbe ni tope. Babako kikte aliuza hadi madini ya uranium, akagawa gesi ya mtwara ambapo kwasasa hatuna say yoyote kule na wala hatusogelei kule, haitoshi akaingia mikataba ya kiwehu hapo bandari ya bagamoyo. Afu leo masikini ww na njaaa zako na elimu yako ya makaratasi unakuja kekekeeeee. John mpinge kwa mengine Ila sio swala la miradi.
 
Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini.

Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme umepungua kwasababu mvua zimepungua hivyo tujiandae kwa mgao.

Swali la kujiuliza ni hili..

Kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi na kutokana na ukweli kwamba bwawa la "stigler gorge" nalo linategemea mito/mvua je siku mvua zikipungua hatutakua na tatizo la mgao wa umeme?

NB: Hapa ninapoandika hii posti TANESCO wamekata umeme na simu ina 8% tu.

Naomba utambue kuanzia leo kuwa serikali iliyo chini ya ccm ina tabia ya kutengeneza matatizo na haijawahi kuwa na msaada wo wote kwa wananchi wake!
Subiri muda ufike na hifadhi hii post.
 
Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"

Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.

Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.

Wataalam wamepuuzwa siasa imetamalaki kila pahala kiasi cha wataalam kuingia kwenye mfumo wa siasa ccm ndo shida ya hii nchi!
 
IMG_7604.jpg
 
Hatuongelei wazungu tunaongelea Tanzania. Mazingira ya wazungu ni tofauti na yetu.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mkuu soma kwanza hoja uelewe. Huyo shoga kasema kutokana na teknologia ya sasa hydro imepitwa na wakati ndio nikamuuliza hao waume zake ambao ndio wana teknolojia ya juu sana na bado wanajenga hydro hawajui kama imepitwa na wakati?

Baada ya huo ufafanuzi unaweza kuuliza swali lako.
 
Kuna uwezekano mkubwa kwamba either serikali haina wataalamu wa kuishauri au ina wataalamu lakini inapuuza ushauri wao.
Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini.

Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme umepungua kwasababu mvua zimepungua hivyo tujiandae kwa mgao.

Swali la kujiuliza ni hili..

Kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia ya nchi na kutokana na ukweli kwamba bwawa la "stigler gorge" nalo linategemea mito/mvua je siku mvua zikipungua hatutakua na tatizo la mgao wa umeme?

NB: Hapa ninapoandika hii posti TANESCO wamekata umeme na simu ina 8% tu.
Ni ukweli ulio wazi ingawa JPM alifanya jambo zuri sana kuanzisha na kutekeleza mradi huu mkubwa ambao utasaidia sana iwapo hakuta kuwa na upungufu wa mvua.

Lakini Dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo kubwa sana la Climate change sababu ya kuongezeka kwa hewa ya ukaa ambayo inapunguza ozone layer, nchi majirani zinakabiliwa na tatizo la ukame watz tunajiweka kama sisi ukame hautafika kama yale maigizo kuwa hatukuwa na Corona wakati watz wengi walikufa kwa Corona.

Awamu ya 6 nayo itengeneze Legacy kama ya ya 5 kwa kuleta chanzo kingine cha umeme cha bei nafuu kitakacho saidia wakati wa upungufu wa mvua.

Na hilo linawezekana sababu tuna vyanzo vingi vya umeme ambavyo hatujavifanyia tunasubiri crisis itokee ili wapigaji wa EP Emergence Power watumie majenerators yanayo tumia fuel kutupiga na umeme ghali sana.

Na ukiangalia nchi nyingine ndogo za Africa zinapambana muga huu kufanya production ya 10,000 megawatts sisi na hilo Bwawa la Nyerere hatutafika hata 4,000 megawatts.

Matumizi ya umeme yanakuwa kwa kasi kubwa sana sambamba na maendeleo lakini tuna tatizo la kutojipanga kabisa kwa medium na Long term solution inaweza kuwa ziko kwenye papers utekekezaji hakuna.
 
Tulikuwa na rais kichaa ambaye aliwahi kutamka hadharani kuwa "mmi sishauriki, ten ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa"

Huyu ndiye aliyeanza kumwaga mipesa kwenye mradi uliopitwa na zama wa kuzalisha umeme kwa maji. Mama anaingia madarakani tayari mipesa mingi imefukiwa pale. Anachofanya mama ni kuendelea kuimwaga mipesa ili walau turudishe hata 1 ya 10 ya mipesa iliyomwagwa pale.

Lkn kiukweli kwa mabadiliko ya tabia nchi yaliyoikumba dunia kujenga bwawa ni ushamba, upumbavu na kupoteza fedha. Dunia imehama huko hivi Sasa, ipo kwenye solar energy,, wind energy, geothermal energy, wave energy na nuclear energy.
Stupidity at its highest level.

Let the deceased continue resting in eternal peace. He did his job at his best.

We're waiting for the so-called "the smartest" prezda for good results. Hoping she will bring those mentioned projects in practice.

But whatever will be said, Magufuli will remain my best president ever. He was a man of action not typically a politician.

Machawa wishing you all the best of chawaring.

But remember uteuzi is very limited!
 
Mtu yoyote anayetaja Solar Energy na wind Energy basi anathibitisha uelewa mdogo kwenye masuala ya nishati na sayansi.

Duniani ukizichukua nchi zote unazozijua umeme wa Jua, solar na hizo nishati jadidifu ni 1% tu.
Umejenga hoja kijinga kweli. Hujafikiria kwamba nchi nyingi zinaathiriwa na jiografia. Sayansi gani unayo kichwani kwa kichekesho hiki ulichoandika??

Mm nilidhani unakuja na hoja za kisayansinkuoneaha udhaifu wa nishati ya solar na wind. Kumbe unaandika upuuzi.
 
Akili huna, kwa hyo Ethiopia kujenga bwawa kubwa kabisa la kuzalisha umeme ni wajinga? Haya huyo kikwete wako alieanzisha mradi wa gesi huko mnazi bei na kutuambia tunanunua gesi kwa bei ya chini na gesi itafanya umeme usikatike yako wapi? Yani Kuna vimtu vinajifanya vigreat thinker rrrr kumbe ni tope. Babako kikte aliuza hadi madini ya uranium, akagawa gesi ya mtwara ambapo kwasasa hatuna say yoyote kule na wala hatusogelei kule, haitoshi akaingia mikataba ya kiwehu hapo bandari ya bagamoyo. Afu leo masikini ww na njaaa zako na elimu yako ya makaratasi unakuja kekekeeeee. John mpinge kwa mengine Ila sio swala la miradi.
Alaaa! Sasa hapa povu kwasabb nimekosoa akili za kijinga za jiwe ama kwasbb Kikwete aliuza gesi? Halafu mm ktk hoja yangu wala sikumtaja Kikwete. Nimesema Jiwe alikuwa mshamba kushobokea teknolojia iliyopigwa na wakati.

Kwani Ethiopia wao ndiyo SI unit hapa duniani? Yes. Ni wajinga kwasbb hawazalishi mvua.
 
Back
Top Bottom