Si akili zao, ni kufilisika (uk wa 4 mwanahalisi leo)

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Nanuku maneno haya

" Wasira ili kusahihisha makosa aliyofanya akiwa nje ya CCM, amekua anabwatuka, anapiga vijembe, anapakazia watu na kujijengea uzio wa miba. Hata hivyo, uzio unataka kugeuka taji la miba.

Kasi ya M4C kuibomoa CCM jimboni kwake bunda inamkosesha usingizi, lakini anayemfanya akeshe usiku akiomba balaa lisimkute ni binti mdooooooogo, Mbuge wa viti maalum (CCM), esther bulaya................."

Mwandishi kauliza swali kuwa
" je duka la baba huyu limejaa au kwishnei..? "
 
Namtafuta sokwe wangu katoroka jamani nasikia kakimbilia dodoma;
zawadi nono itatolew kwa yeyote atakaye mshika na kunijulisha.
 
Back
Top Bottom