paesulta
JF-Expert Member
- Mar 13, 2009
- 227
- 29
Kuna mdau katuma kupitia maoni katika blog ya Mjengwa (under; E bwana,tutakula wapi pasaka?) kuwa serikali ina mpango kuanzia mwakani kufuta kimyakimya shule za boarding(na hii inafanyika bila kupata maoni ya wadau wa elimu),na amesite gazeti la The Citizen la jumapili kama reference.nimeangalia kupitia mtandao sijaona habari hii,alie na nyeti yeyote atupatie...