Shule ya sekondari kukosa bodi ya shule

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Shule moja ya kata,katika mkoa maarufu kanda ya mashariki inafanya shughuli zake kwa mda wa mwaka na nusu sasa bila bodi,hebu fikiria nidhamu iko vipi katika shule hiyo?je nani anajadili taaluma ya shule hiyo?maswala ya uchumi je?Wizara ya elimu mnatuaibisha,MAJALIWA hebu fuatilieni kwa undani,kama shule zote za kata zilizosajiliwa kama zina bodi za shule.Tukifanya hivyo basi tutasonga mbele.
 
Zipo nyingi tu na waweka saini katika Akaunti ni Mkuu wa Shule na Mke wake na shule ipo Mkoa wa Arusha..
 
Back
Top Bottom