Shukrani zangu za dhati kwa Wana JamiiForums, nimepona

Dee_Aristotle

Member
May 29, 2021
54
30
Habari zenu wanajamii

Ninauleta uzi huu nikitoa shukrani zangu za dhati kuishukuru forum hii kwani mwaka jana mwezi wa tano nilisumbuliwa sana na vipele kama rashes flani hivi

Nilitumia dawa mbalimbali ila si zote ila kupitia forum hii nilipata dawa humu humu na asubuhi yake nikaenda kununua nikaanza dose.

Though nina bima ila nilikubali kuingia mfukoni na kununia hiyo dawa kwa mwaka jana iliuzwa 10k.

Nilitumia dozi na matokeo mazuri nimeyapata hadi leo havikirudi tena.

Mbarikiwe sana wanajamii, naiheshimu sana jamiiforums.
 
Habari zenu wanajamii ninauleta uzi huu nikitoa shukrani zangu za dhati kuishukuru forum hii kwani mwaka jana mwezi wa tano nilisumbuliwa sana na vipele kama rashes flani hivi nilitumia dawa mbalimbali ila si zote ila kupitia forum hii nilipata dawa humu humu na asubuhi yake nikaenda kununua nikaanza dose though nina bima ila nilikubali kuingia mfukoni na kununia hiyo dawa kwa mwaka jana iliuzwa 10k. Nilitumia dozi na matokeo mazuri nimeyapata hadi leo havikirudi tena. Mbarikiwe sana wanajamii, naiheshimu sana jamiiforums.
Hongera kwa kushukuru

Huo ndio uungwana

Kwani ilikuwa Gono au Kaswende?
 
Hongera kwa kushukuru

Huo ndio uungwana

Kwani ilikuwa Gono au Kaswende?
Hongera kwa kushukuru

Huo ndio uungwana

Kwani ilikuwa Gono au Kaswende?
😂😂😂hapana ni rashes tu nilizipata mwilini na zilikuwa zinawasha sana majira ya jion saa moja hadi asubuhi yani huwezi ukalala kwa amani zikiwasha ila now namshkuru mungu na wanajamii niko fit
 
Back
Top Bottom