Shukrani kwa CCTV News kwa kuutangaza Mlima Kilimanjaro

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Katika taarifa ya habari ya usiku wa leo 06/10/2012 saa mbili,CCTV NEWS imetumia zaidi ya dakika 10 kwa kuutangaza mlima kilimanjaro
shukrani kwa watangazaji wa CCTV bwana ERICK NJOKA aliyeweza kuwepo mlima kilimanjaro na kuutangaza bila hata kuweka chumvi ingawaje yeye ni mkenya
 
Hakumalizia kuwa ukitaka kuuona vyema pitia kenya maana hawa majirani kwa bifu
 
si-dhani kama leo ni tarehe 6/10/2012.
 
Hakumalizia kuwa ukitaka kuuona vyema pitia kenya maana hawa majirani kwa bifu

hapana,niwe mkweli nimeona habari hiyo mwanzo hadi mwisho hakusema neno hilo,maana alikuwa akipanda mlima na kaelezea vyema wapi upo na jinsi ya kupanda pia
 
Back
Top Bottom