mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,016
- 1,599
Duh mkuu hivi hao ni raia wa wapiSitungi habari mkuu. Jiandae kushuhudia.
TAHADHARI INATISHA KIDOGO
====
===
Baada ya kuangalia video hii niambie, sasa ni mbinu gani ya kisayansi kama siyo Quantum technology kwa kutumia Teleporting mechanism tabibu huyu na wasaidizi wake walikuwa wanatumia.
Karibu kwa maelezo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app